I wish dada.
Ila huyu demu chenga ile mbaya, ana maudhi plus shobo za kijinga.
Kila nikiona post zake za kabila ile huwa nachafukwa roho... Halafu upande mwingine anajifanya decent sana.
Aaaaagh!
Yaani nimeshiba bado nikiwa na hamu
Nimegongwa like mpaka na Ganesh na Malaria Sugu nani aliyewahi?
Safi saana. ilobaki naweka fridgini....lol
mimi nilimuumbua jamaa mwenye multiple IDs akanigongea,si mchezo.
AshaDii umetisha pande zile pale!!!hapa roho yangu burudaaaniiiiiii...........!
Siku hizi kapotea sana...simuoni tena kabisa! Sijui nini kimemsibu!!Kutaja jina inaweza kuwa kinyume cha sheria lakini hints ntatowa, huyo atakuwa ni yule anaependa avatar za vichanga.
Mimi Ganesh aliwahi nigongea Like kwenye Thread Yangu ya "Kwa nini JF" alipouliza nini maana ya MMU nikamjibu. Malaria Sugu Twice but sikumbuki ila tu nakumbuka moja ilikua ni salamu kwake nampatia....lol... Alafu nina Thread moja nimegongewa na Faiza Foxy Thread nzima nani kawahi? lol
Siku hizi kapotea sana...simuoni tena kabisa! Sijui nini kimemsibu!!
Mimi Ganesh aliwahi nigongea Like kwenye Thread Yangu ya "Kwa nini JF" alipouliza nini maana ya MMU nikamjibu. Malaria Sugu Twice but sikumbuki ila tu nakumbuka moja ilikua ni salamu kwake nampatia....lol... Alafu nina Thread moja nimegongewa na Faiza Foxy Thread nzima nani kawahi? lol
AshaDii, panapo uhai na majaaliwa, tegemea kwangu ma like mengi mengi tu, you are one of a kind.
Khaaaaa!Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Kwamba you can hate her so tokana na post zake, wewe ndio unaonekana na madhaifu makubwa kuliko yeye. Yawezekana kweli akuudhi, lakin Mphamvu kwa maneno yako haya makali ni nani ambae awezi dhamiria kukuudhi? mimi nimewafuatilia humu ndani na kweli kabisa hata wewe ukisoma utakuta wewe ndio unaonekana una tatizo.... angalia saana haya mambo, isije ikawa ndo ile ya "a small line between Love and and hate..... watch out....
Khaaaaa!
Haki ya mungu nakuombea mungu tu akupe maisha marefu Babu,
Maana tangu nijiunge JF sijawahi kupoteza network nikisoma post yako km hii!!
Hope kitakua kimesimama na ukafurahi lol!
Kweli wewe si mzima naanza kuamini hivo....duuuu!Punguza kudumisha mila aaiseee..
Kutaja jina inaweza kuwa kinyume cha sheria lakini hints ntatowa, huyo atakuwa ni yule anaependa avatar za vichanga.