Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Hivi unajua hata wewe ushawahi nipa Like? lol
Shem nimekuja kushtakia kwako..... Nimetuma uzi kule jukwaa la "watakatifu" tangu saa nne bado haijarushwa hewani. Mpaka Mods waende haja kubwa eti ndo watairusha. Siendi tena kule, nimekoma!
 
kuna jina moja humu nalihusudu sana siku likinigongea "like" ntafurahi sana!!!!nipo tayari kuwaudhi wote jamvini lakini siyo hilo jina hata akipost kitu sikikubali huwa nasikia raha tu!
 
Shem nimekuja kushtakia kwako..... Nimetuma uzi kule jukwaa la "watakatifu" tangu saa nne bado haijarushwa hewani. Mpaka Mods waende haja kubwa eti ndo watairusha. Siendi tena kule, nimekoma!

Shem kuna maneno sijaona wala sitaki kuyaona hapa....lol... B2T, Lile Jukwaa pamoja na la Siasa, pamoja na Jamii Intelligence ukirusha uzi, uwe huna haraka, wadai wenyewe mpaka wapitie (nilipata the same tatizo nilipom PM Invisible, ndio majibu alinipa hayo). Hivo be patient my shem.... Aisee huchelewi usha rusha? Jukwaa gumu lile! toka asubuhi niko kujibu post ya tatu! lol

Lunch umepata Lakini?
 
hahahaha.... Mbona kama huna maneno tena Manyanza? lol

wewe na NN mnajuana maana mimi pamoja na kua wote tunatoka Ikungu, lakini hua ananibania hata Likes kuna siku nilitumia zaidi ya dk 20 kumwelekeza jinsi ya Kuongeza Reputation Power yake, hata ka Like hakuna...
 
Alafu Mphavu acha kututisha... angalia Likes zangu toka kwa PAW LINK Alafu nakudai Like ulofuta kwenye hio thread...lol
 
Shem kuna maneno sijaona wala sitaki kuyaona hapa....lol... B2T, Lile Jukwaa pamoja na la Siasa, pamoja na Jamii Intelligence ukirusha uzi, uwe huna haraka, wadai wenyewe mpaka wapitie (nilipata the same tatizo nilipom PM Invisible, ndio majibu alinipa hayo). Hivo be patient my shem.... Aisee huchelewi usha rusha? Jukwaa gumu lile! toka asubuhi niko kujibu post ya tatu! lol

Lunch umepata Lakini?
Daktari alinikataza kula mchana........ midawa mingine ina masharti kama jukwaa la dini......... Hivi kunywa maziwa na matunda nayo twaeza kuita lunch? dah!
 
wewe na NN mnajuana maana mimi pamoja na kua wote tunatoka Ikungu, lakini hua ananibania hata Likes kuna siku nilitumia zaidi ya dk 20 kumwelekeza jinsi ya Kuongeza Reputation Power yake, hata ka Like hakuna...

hahahaha..... Uelewi kua ile ni Alter ID yangu, kati ya nyingi nilizo nazo hapa jamvini. Nilijigongea....lol. Nikiingia kwa ile ID nitakugongea....
 
Alafu Mphavu acha kututisha... angalia Likes zangu toka kwa PAW LINK Alafu nakudai Like ulofuta kwenye hio thread...lol

usijali mamito.
Nitairudisha sasa hivi, mi sitaki madeni mwisho wa mwezi huu.
 
mie tena?
Hata wewe ushawahi kunipaga... Nataka teena!

Haya nimekupa umeona eeh?

Daktari alinikataza kula mchana........ midawa mingine ina masharti kama jukwaa la dini......... Hivi kunywa maziwa na matunda nayo twaeza kuita lunch? dah!

Shem ni Lunch pia.... Naomba uangali Matundi Mix nimekuandalia.... CHECK order # 30 HAPA.... Alafu niambie ladha iko vipi! Nakupatia na a cool drink na tone la mvinyo.
 
Haya nimekupa umeona eeh?

Shem ni Lunch pia.... Naomba uangali Matundi Mix nimekuandalia.... CHECK order # 30 HAPA.... Alafu niambie ladha iko vipi! Nakupatia na a cool drink na tone la mvinyo.

nimeona mdada.
Aspirin muache kama alivyo, tungi linamsumbua, yeye anachotamani hapo ni nyama tu!
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom