Ushawahi choka mkeo?

Teh teh..Kama namuona vile Mzee Sent anavyokuwa mpole..Mrs uwa anamuweza kweli..Hizo ni baadhi ya moment mtu akiwa hayupo unazimiss
 
Hata nyumba tu inachosha sembuse mke?

Mimi kuna siku nyingine huwa natamani nikalale nyumba ya jirani maana kwetu kunaboa hii nyumba nimeichoka kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuwi
 
Mruhusu aende likizo kwao akakae kwa muda then utaona ugumu wa kuishi peke ako utamiss uwepo wake na akirudi i'm sure utamfurahia
 
The Boss kwakwel kwa sasa sitajali sana kama nitagundua hayo,zaidi nitatumia nafasi hiyo ku move out..I cant just leave her man.Ukiacha tofauti za kawaida she is a good wife.Nkimwacha tu nitafeel guilty sana.
Aseh..upo nae cause/out of pity!! Unahitaji likizo ya siku tatu huko Bangkok.
 
Hii story yako inafanana na ya Chris Rock...
mwisho alimuacha mkewe ingawa anakiri mkewe hana tatizo
just boredom tu kwenye ndoa.....

Wanaume huwa tunapenda challenges sana....zinatu excite
ndo maana tunakesha kutazama mpira

wanawake ni tofauti akishapata anachopata anatulia tu....
sasa unaweza kuta mkeo kwa kuwa anakupenda anakuwa mtiifu kupita kiasi
kila unachomwambia ni yes tu.....

kumbe anaku bore to death....
 
We bado hata kumaliza probation ya ndoa ambayo kiuzoefu ni miaka 10.
Gangamala utampenda tuuu. Kuwa mbunifu.
 
oa mke wa pili ww kwann uteseke bas hiyo ndo likizo kubwa sn
 
Ndugu yangu ndoa ina vitu vingi hebu jaribu kusoma kitabu kinaitwa majibu ya ndoa yako.inauzwa nje hapo roundabout ya msimbazi
 

Mgogo we ni kandarasi wa wake za watu?
 
I believe ts just a phase,usivuruge hio amani mlionayo ndani kisa hisia za boredom tu..Love is a choice not js feelings,
 
Nashauri pia zidisha maombi sana,Mungu arudishe mapenzi na amani kwenye ndoa yenu,hamna kipindi wanawake wanaroga wanaume kama hiki,Mungu ndie mlinzi na kimbilio letu hata kama ikichukua muda Mungu atashinda tu
 
Hahahha Chris Rock; married and bored single and lonely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…