Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
Unashangaa Ushirikina na mtu katoka kigoma?
huoni kasema 'ameaga' kwao?
huwahui watu wa kighoma kumbee?
Hahahahaaa daaaah!
Kumbe ndo alichomaanisha hicho?
Basi mi nilisoma nikaona anachimba biti la kawaida tu kumbe wapi!
Hivi uchawi kweli unafanya kazi?