Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,332
- 144,793
Unashangaa Ushirikina na mtu katoka kigoma?
huoni kasema 'ameaga' kwao?
huwahui watu wa kighoma kumbee?
Oh yeah...kama anatimiza vigezo vilivyowekwa na katiba ni haki yake kama ilivyo haki kwa Watanzania wengine.
Ila kwangu mimi nilishagasema hafai na bado nasema hafai.
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli
naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa
mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015
lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..
hii now iko waazi mno
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...
basi ni bora ajipange now......
mimi naona this way it is better kwa kila mtu
Zitto na CHADEMA pia......
Pole zitto,mti wenye matunda mengi ndo unaopigwa mawe siku zoteee...Zitto usiwasikilize watu hawana nia njema juu yako wala hawana shukran kwa kazi uliyoifanya....,maana mengi ni ww zitto umetufanya tujue ila hawaoni haya...komaa hapo hapo CDM.
Zitto siyo presidential material hata chembe.
Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.
Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.
Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.
Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.
He is too polarizing.
Sio busara kumlazimisha kutoka cdm,mi nafikiri tuheshimu uamuzi wake,keshasema hatajitoa cdm na kwenda chama kingine chochote.cdm ni chama cha demokrasia na maendeleo,tuvumiliane, binafsi simkubali sana zitto lakini siungi mkono zitto kuondolewa cdm,yeye ana mchango wake pia.
Ndugu NN jana kwenye mjadala wa LULU ulituelekeza sana kuhusu dhana ya ushahidi kabla ya kufungua mashtaka, naona leo umeingia kwenye mtego wa hawa jamaa wa mitandaoni, tafadhali naomba unithibitishie bila shaka yeyote juu ya tuhuma zote alizopewa ZZK na ulizozitaja hapo juu. Kwa kufanya hivyo utaondoa shaka yangu juu ya double standard uliyonayo katika mijadala.
Tatizo hiyo ni siasa kwahiyo hao wanashindana kwa yao na tusiwe wepesi wa kuhukumu bila ya kupima mambo yanavoenda...'Wa mtindo huu wa benny na Zitto CDM haifiki popote maana washaanza machuki na siasa za maji taka wakiwa ndani ya chama kimoja hatufiki popote CDM huku kupashana na kusemeana mbofu wakati wote mpo kwa chama kimoja na wanajifanya wana lengo kumbe kila mtu ana yake....tuwen waangalifu sana maana ss watanzania tupo kama nyumbu yaan tunafuata sana upepo bila ya kufikiria vya kutosha....mpaka mnanifanya nianze kuamini bora zimwi nilijualo kuliko haya mapya ambayo siyajui....ni mapema mno kwa wanaCDM kujiona tupo juu kiasi cha kubehave this way....I hate the attitude maana inaonekana wapambe wengiii lakin hakuna anayejua kiundani zaidi?pole kwa lipi kamkana hamjui ben kumbe alikuwa anamshirikisha mpaka mkumbo ben aje akanushe huku akiwa alishamshirikisha hata viapo vyake vya kwa mganga wasivujishe siri za kundi lake la wasaliti huku akija jamii forums kutuongopea ben kamwanika na mamuye jinsi mchana chadema usiku ccm soma majibu ya ben uelewe hutampongeza utamshauri ache siasa za undumila kuwili
Sio busara kumlazimisha kutoka cdm,mi nafikiri tuheshimu uamuzi wake,keshasema hatajitoa cdm na kwenda chama kingine chochote.cdm ni chama cha demokrasia na maendeleo,tuvumiliane, binafsi simkubali sana zitto lakini siungi mkono zitto kuondolewa cdm,yeye ana mchango wake pia.
Mkuu kama unataka ushaidi Mtafute Saanane atakuambia kila kitu au Mpm
Ndugu NN jana kwenye mjadala wa LULU ulituelekeza sana kuhusu dhana ya ushahidi kabla ya kufungua mashtaka, naona leo umeingia kwenye mtego wa hawa jamaa wa mitandaoni, tafadhali naomba unithibitishie bila shaka yeyote juu ya tuhuma zote alizopewa ZZK na ulizozitaja hapo juu. Kwa kufanya hivyo utaondoa shaka yangu juu ya double standard uliyonayo katika mijadala.
Wewe ni kichekesho!
Yaani unaleta criminal standard of proof kwenye mambo ya kisiasa? We wa wapi wewe?
Halafu mimi nimezungumzia tuhuma anazotuhumiwa Zitto na watu mbalimbali. Sijazitoa mimi hizo tuhuma.
Sasa unanitaka nikuthibitishie juu ya shaka yoyote kwa tuhuma anazotuhumiwa Zitto na watu wengine?
What have you been snorting? Crank?
Miafrika ndivyo tulivyo
Kama kuna siku yaweza kuwekwa kwenye kumbukumbu kuwa Zitto ameshusha hadhi yake kama mwanasiasa kijana makini kwa mtazamo wangu ni siku alipo"post" vitisho vyake vinavyohusisha mauaji ya halaki ya panya.Unashangaa Ushirikina na mtu katoka kigoma?
huoni kasema 'ameaga' kwao?
huwahui watu wa kighoma kumbee?