Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,573
- 3,756
- Thread starter
- #81
๐๐๐Mimi si muumini wa single mother lakini kwa huyo wako nakushauri umuoe huyo x-girl. Huyo anakupenda sanaa usimtose kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐Mimi si muumini wa single mother lakini kwa huyo wako nakushauri umuoe huyo x-girl. Huyo anakupenda sanaa usimtose kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa sana mwanaume anayezitaman hela za mwanamkeNimejikuta namuonea huruma uliyenae sasa hivi kwasababu anaelekea kuwa na mume asiye na msimamo
๐๐๐๐๐Kama ulimshindwa mwanzo na kuweza kumsahau unataka kumrudia wa nini? Mwanaume siku zote ndio kichwa cha familia na kama unaangalia pesa (Marioo) shauri lako ila kwa kusoma tu kidogo nimegundua una shida na dhiki na unataka sehemu ya kuterezea ndio maana unajifanya kama kuna mapenzi kumbe njaa inakusumbua.
Ukimuoa huyo ex utakuja juta baadae. Mwanaume simama na msimamo wako achana na huyo single mother. Wewe ulimshindwa, waliomzalisha wamemshindwa halafu unataka kumrudia tena. Sikio la kufaโฆ...
๐๐๐๐Mchague ambaye unafikiri una amani naye na furaha pia. Kwenye mapenzi hakuna kuoneana huruma ili uwe na furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐Hata mimi naona hivyo. Kwa sasa simama kama mwanaume, achana kutishwa na uwezo wake wa pesa after all ameshajifunza na amekua anatafuta mme na wewe ndio ameona ni choice wake. Chukua mke huo achana na woga, cha kwanza mchukue mkae naye mpige mimba muwe na mtoto uku ukisoma tabia zake, ukiona katulia funga ndoa rasmi. Wanawake kuwapata ambao mkaelewana ni wachache huyu mmeshajuana kitabia unaweza kucontrol tabia hiz za kiburi cha pesa. After all sasa hivi ameshakuwa mwoga na ataishi na wewe vizuri akiogopa asikuhudhi ukamuacha
๐๐๐๐Kwanini kama humtaki kumuoa uendelee kutafuna pesa zake . Yaani wewe Una matatizo Sana. Bora ungeacha kuchukua pesa zake ili uwe huru
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐Wewe ni marioo tena Mario sugu, pole kwa girlfriend wako mpya hata ukimuoa utakuwa unajipoza na matapishi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐Kuna matapishi mengine ya chakula kizuri na kitamu
Unayarudia tu mkuu[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐๐๐Huyo dada alijua kosa lililofanya ukamuacha mwanzoni?
Na sasa hivi anavyokusaidia tena pesa, huoni kama ni kosa lile lile linaweza kujakutokea?
Je na yeye akiwa amepatq mtihani wa kutokuwa na pesa unahisi mapenzi yenu yatakuwa na uhai?
Alexander The Great
๐๐๐๐Ukiona mtanzania anakuomba ushauri jua kaisha hamua tayar hapo anakuwa anataka umuunge mkono juu ya uhamuzi wake kama ikitokea kumshauri tofauti na maamuzi yake atakuona ww ufai na umpendi.
Ushauri oa ulie hamua kumuoa