Ushauri wenu

muda gani tena....3 years bado unaendelea tu kusubiri

Ndio ni miaka mingi lakini kumbuka kwamba kila jambo huwa lina wakati wake muafaka...

Hata wewe hapo ulipo yawezekana kuna mambo ambayo waliopembeni wanahisi ungetakiwa kuwa umekwisha yafanya lakini kutokana na muda bado hayajafanyika..
 
Ndio ni miaka mingi lakini kumbuka kwamba kila jambo huwa lina wakati wake muafaka...

Hata wewe hapo ulipo yawezekana kuna mambo ambayo waliopembeni wanahisi ungetakiwa kuwa umekwisha yafanya lakini kutokana na muda bado hayajafanyika..

Never mind it was me thinking out Loudly......
 
Habari zenu wanajamvi....Nnampenzi wangu almost 3yrs tangu tuwepamoja..bt hajawai kunipeleka anapoishi hata mara mja na nnapomuuliza ananijibu kuwa"pale ni kwako na ipo cku utaenda na kufulahia na jua kwamba nakupenda na wewe ni kama mke wangu"!!na nnajua kila kitu kuhusu maisha yake ya nyuma kuwa anamtoto na anaishi na mama ake na anapokaa hyo mwanamke wake wa mwanzo na mtot napafahamu...bt tatizo ni kwamba kila nnapomwaleza kuhusu kwenda kwake ananipigisha kalenda....so swali langu ni kwamba je kweli ananipenda kwa dhati kama anavyodai au kunakitu ananificha!na hana mpango na mimi??msaada wenu wanajamvi natumai ushauli na c kejeli.
deprettyn aidha huyo mtu
  • hana pakukupeleka yaani hana kwake au
  • kwake hajaweka sawa yaani anaona aibu hata kukukaribisha isije kuwa analala kwenye kigodoro chini au
  • hana future na wewe anakutumia tu!!
  • Usisahau kuna asilimia 85% ya kwamba sio mkweli ...So cha kufanya ni ujaribu kuchunguza je ayasemayo ni kweli kuwa anasehemu ana ishi?
  • Na kama anayo je kwanini hakupeleki?
  • Je,kuna mtu anaishi nae?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom