hakuna shortcut hapo..., amueleze mumewe kwamba alizembea dawa so kapata ujauzito..
Hicho kiumbe ni cha wote wawili na inabidi kushirikina, kama huyo mumewe hawezi kuelewa hilo, then maybe alifanya makosa kuolewa nae. Na kama ni Talaka atapewa huenda ikawa blessing kuondokana na mtu ambaye sio considerate
Hivi hili nalo ni la kupeleka kwa wakwe kweli? Naona linaweza kutatuliwa na wanandoa wenyewe tu.Hiyo ipo kwenye jamii, aende kwa wakweze awaeleze wao ndiyo waje kumhabarisha na amwambie ukweli kwamba aliogopa kusema kwake ndiyo maana akawashirikisha wazazi wake. Simple kama ni talaka basi itoke tu. Kutoa mimba asijaribu, hawezi jua anaamzaa nani? who knows! Mungu amtie nguvu.
wanawake,wanawake,wanawake lini tutasema hapana kwa unyanyasaji wa namna hii....kwani jukumu la uzazi ni la mama peke yake na huyo mbaba anaekojoa hovyo kama kuku...msonyoooo!
ukipanda ujuwe na kuvuna....msonyo tena kwa vidume uchwara!kwani kukojoa ni kosa???????