Holota
Senior Member
- Feb 20, 2022
- 132
- 119
umeomba ushauri nimekupa ushauri mzuri nimefanya interview zaid ya 10 nature ya mtihani ndiyo hiyo ,ila unaoneka ni mtu ambaye hautaki kuamini unauliza maswali ya kijinga sana kwamba mtu wa mathe asome nini , sawa utakapotoka kwenye interview nadhani utakuja kuleta ushuhuda na kama umesoam law esabu inaweza kuwa shida kwakona watu wa mathe wasome nini?