Ushauri wenu wakuu

Naona unaunyemelea u single mother. Wanawake aliyewaroga kweli kafa. Ina maana hapo huoni kama jamaa ana mke tayari na anakuchezea tu?
 
Kama ana mtu na ana mtoto muache tafuta wako,kumbuka ukifanya hivyo kumchukua wa mwenzio nawe wako atachukuliwa tu
 
Pesa siku zote ndo zinawachanganya wadada, na unajua kabisa kuwa namchumba na mtoto, na mkiwa mtokoni mnajificha and u say kuw anakuoenda kiukwel, m naona anataka aoshe runfu lake maana nachokiona mimi ashakuletea siasa nawew Umeingia king, Kama kawaweza wana jimbo lake kwann wew uchomike
Acha ajpigie chingwanji hicho.....
 
Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni

Funguka macho hakuna mwanaume atakayekuambia ukweli ati yuko na future na mchumba wake si anajua utamuacha lazima akidanganye sina future nae Mara simpendi ili aendelee kula vya bure toka kwako. Mi ningekuwa ni wewe the moment alivyoniambia Nina mchumba hata nisingemfikiria ningemfuta akilini coz I know vya kuiba siku zote huishia pabaya.
 
Kama uko tayari kuwa bi mdogo katika life yako endelea nae tu...na ndoa utaisikia kwenye kipindi cha cherekochereko tu
 
Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni
Wewe utakuwa huwajui vizuri wanaume au kama unawajua umewasahau.
 
Umukagame Kama wewe ni mtu mwenye busara naomba umshauri atulie na ndoa yake
Uhusiano Kama huo cku Zote hauna baraka kutoka kwa mwenyezi MUNGU
Ckuzote huishia Pabayaa, Embu tafuta mpenzi wa pekeako huyo ni wa mwenzio
Tatizo wanawake wa ss hv mpo kimaslahi (shopping, mizinga mingine)
Jitambue!!!!!
 
Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…