Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Ushauri wenu wakuu nimefikwa

duuuh pole sana

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
  • Thanks
Reactions: B40
Ustawi Wa jamii wao wanasemaje, ni lazima nitoe matumizi ya wote wawili?

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Kwani mtoto si anaishi na mamake jamani... Hata kama utatoa kwa ajili ya mtoto, lazima mamake afaidi kwa namna mmoja... Ndo maana nikasema hilo Halikwepeki
 
  • Thanks
Reactions: B40
Maserati mama yangu nilishamzika

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
samahani sana.
Unaweza kumchukua huyo msichana wa kazi, ukakaa nae akulelee mtoto wako.
Then, ukimpata mtoto wako hama hapo unapoishi now...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chukua mtoto na house grl ukae nae

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
POLE SANA

WATAFUTE WAHENGA WAKUSAIDIE

Sent from my KIBAMIA TZ Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.

Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.

Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura

Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.

Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.

Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
ww na hyo wote hamna akili. Halaf story yko haina uhalisia pumbavu zako

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
ww na hyo wote hamna akili. Halaf story yko haina uhalisia pumbavu zako

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu
Naamini ktk kukosorewa pia wala sina tatizo Na mtizamo wako

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.

Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.

Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura

Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.

Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.

Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
Mchukue mtoto ili uepuke usumbufu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
Mchukue mtoto ili uepuke usumbufu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mtoto nitamlea Na housegirl? Sina wife

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Naamini ktk kukosorewa pia wala sina tatizo Na mtizamo wako

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Nafatilia story zko nyingi za uongo mkuu. Kajiunge na shigongo

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto nitamlea Na housegirl? Sina wife

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Mpeleke kwa bibi ake atakua katika mikono Salama kabisa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
Mchukue mwanao umtumze mwenyewe ili akue kwenye maadili unayotaka. Kama hujaoa bora umpeleke hata kwa mamaako akulelee hadi utakapopata mwenza.
 
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.

Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.

Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura

Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.

Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.

Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha

Dah, nakuonea huruma, ila naomba nikulaumu kidogo, kwa nini unazaa na mtu kabla hujaamua? mtoto atapata tabu sasa, kama anahudumia mwanae wewe usitafute heshima mwache aishi naye, ila kama hapendi mtoto inategemea na umri, fuata utaratibu wa sheria kumchukua, kama umeoa, mtoto kulelewa na mtu ni changamoto nyingine bora kwa mama yake, mi sina ushauri ndugu ...
 
Huu pia unatosha

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Well said mkuu

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mimi nakuambia huyu mwanamke wenzie mtaani wanamshangaa

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mchukue mwanao umtumze mwenyewe ili akue kwenye maadili unayotaka. Kama hujaoa bora umpeleke hata kwa mamaako akulelee hadi utakapopata mwenza.
Asante ingawa mama sina

Back
Top Bottom