Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Usemalo ni sahihi ila kumwacha mwanamke angali anakupenda haiwezi kukuacha salama na hasa akiwa na kiumbe chako!
Mkuu huyu mwanamke amenifanyia ushirikina sana Ila kwa nguvu za mungu amenisaidia

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Kumuona mtoto anahangaika siwezi,no matter what
Nina uhakika hana jeuri ya kumuhudumia mtoto

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo amemshika ng'ombe pua huyu mama. Itafika wakati utachoka na utaachia ndugu yangu! Wengine tulijaribu kwa miaka 12 lakini mwisho tukashindwa na hasa mwanamke huyo akipata bwana ambaye si sawa na wewe kipato. Wanakuendesha kama gari bovu. Kubali tu
 
Kwani we unataka ukweli wote au unataka keys of the problems??
Chalii vepe? Nenda kaongope mchana kweupe upewe mtoto wako wewe, umpeleke kwa mama
Unahudumia wanakaza wengine, mtoto wako analetewa mijasho ya mijanaume mingine, mbaya zaidi halali home mtoto anamuacha na house girl, unajua usalama upo kwa hali gani hapo??
Grow up if that's whay you need to hear.

Hata nami namshangaa ujue.

Mana kwa upande mwingine hii pia ni njia moja wapo ikiwa anamtaka mwanae
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu huyu mwanamke amenifanyia ushirikina sana Ila kwa nguvu za mungu amenisaidia

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha ushirikina ni mapenzi ya mtoto na si ajabu ni mtoto wako wa kwanza!
 
Kwani we unataka ukweli wote au unataka keys of the problems??
Chalii vepe? Nenda kaongope mchana kweupe upewe mtoto wako wewe, umpeleke kwa mama
Unahudumia wanakaza wengine, mtoto wako analetewa mijasho ya mijanaume mingine, mbaya zaidi halali home mtoto anamuacha na house girl, unajua usalama upo kwa hali gani hapo??
Grow up if that's whay you need to hear.
Hapo kwenye kuhudumia halafu watu wanafanya yao bure ndo nachoka
Naona nimerogwa

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la wanaume walio wengi ni hilo, we unaona kabisaa huyu tabia zake za hovyo bado uko tuuu na mtoto anazaliwa halafu ndo unaanza kuona ubaya mpaka kwa familia yake...

Una haki ya mtoto wako kama baba, wala asikuumize kichwa huyo anataka tuu attention yako...

Huyo mwanaume wa kulea mtoto wa mwanaume mwenzake enzi hizi za Magu yuko wapiii????

Endelea kumtunza mwanao wala asikutishe
 
Nitakupa ushauri,ila nimesoma uzi wako mara nne kuna kitu kina kosekana uhalisia. Maneno yangu sio mazuri sana na hii inatokana na jinsi uzi ulivyo nanmaneno makali so univumilie

Kwanza umesema uliishi nae kama mwaka,bila kufunga ndoa it means ulimwokota aidha ulinogewa na penz ukaamua kuvuta ndani,japo sina hakika sana ila ndio inavyoonekana,je unawajua wazaz wake? Kwa nn umeshindwa kujitambua kwa mwaka mzima unaishi na mtu bila process yyte ya kwao??

Pili unasema unalipa billz zote sawa bt je ulitaka nani alipe?na umeshawah kuwaza usipolipa itakuwaje? Unaenda kula pale,halaf hulali kwel unatuona sisi watto kama wewe? Unakuka kila siku then ndio unaenda getto kwako kulala,?? Shame on you boy,unatafuta nn kwake kama umeamua kumwacha? Unaendaje kwa mtu uliemwacha? Kisa mtoto? Unajua je kama analalaga nje kama wewe hulali pale? Umemsikia anaongea na bwana zake still bado unapiga miguu kwake?? Are you insane boy?

Mwambie siwez kulipa bills zako tena kuanzia rent na unamwachia tu hela ya maziwa ya mtoto thats all,huko anakoendaga kulala watamlipia hapo,na usije jidanganya kwamba ww ndio unampa huyo mtoto maisha,mtoto ana maisha yake japo anahitaj malez ya mzaz lakin huwez hta kusogeza dakika moja ya uhai wake,kwa nn uumize kichwa kwa kitu cha kipuuz kama hicho?? Yy anasema atampa mtu mwngine mtoto mwambie sawa,mpe yyte bt still unajua na mtoto kbsa mtoto ni wngu,so akiamua kumpa mwambie sawa mpe tu.

Unadhan wanaume tumekua wajinga hiv mpka unileteee mtoto wako kabsa bila kukuuliza maswal magumu kuhusu mzaz mwenzako?? Wavulana wa dar( ) ndio wanafanya hivi sio wanaume.

Ww kata mguu,achana nae hata mawasiliano yake block kabsa,then acha kutoa matumiz yyte yale halaf umwone atafanya nn baada ya wiki nzima,lakin ww unaenda kwake kila siku na mzigo unabunya mara moja moja halaf unakuja kuleta porojo huku? Bro usijishushe sana,,unatakiwa utii tu bas

Mwsho,binadamu wengi hatujioni na hatutambui tulivyo,biblia inasema hatuon vtu kama vilivyo bali sisi tulivyo,bt umeshaona tabia zako halis? Unajijua unavyofanya? Weka hali hyo ungekua ww ndio mwanamke ungefanyaje? Ww ni malaya,na mwanamke nae malaya so mmekutanana wote mnaonyeshana umwamba so matokeo yake ndo haya. Leo unashindwa kuamua kiume unakua na maamuz ya kivulana kwa nn? Umeamua kuacha acha jumla japo ww ndio utaumia ukikumbuka vile viuno,lakin kwa mustakabal wa maisha yako jifunze kutokana na kosa hili kwan usipojifunza kwa makosa yako kitakachokufata ni mapigo kwako.

Akikujambisha anampa mwanaume mtoto nawe unajamba tu unaogopa,mwambie sawa mpe then utaona moto wake.

Garcias
Mkuu
Xav hero asante kwa ushauri ulio makini
Pia nikuhakikishie kuwa sifanyi nae mapenzi wala hatuna ukaribu Wa kimaongezi mm huwasiliana Na hg
Pia huenda asubuh kupeleka hela ya chakula maana mtoto ana miaka 2 aliacha kunyonya
Nikisafiri mtoto huwa Na hali mbaya

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto mzuri mwenzangu acha tu, tatizo linapo komaa tafuta any means uweze kukabiliana nalo.
Mwisho wa siku achukue mtoto wake ampeleke kwa mama ake. Bora hizo ela zikaliwe na mama ake, ambae ni bibi wa mtoto wake
Maserati mama yangu nilishamzika

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Kumuona mtoto anahangaika siwezi,no matter what
Nina uhakika hana jeuri ya kumuhudumia mtoto

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Kwa hyo uhakika ulionao ww sababu hana uwezo wa kumlea,,usijidanganye ukashondana maisha na mwanamke asilan,hatuwawez,wale ndio kibiko yetu,ndio walivyoumbwa hvyo,tunachowazid hao ni kujiamin tu bas. Hakuna kingine. Kama hujui kama anauwezo wa kumkuza mwache usitoe matumiz uone
 
Kama hata familia yao ni malaya kwanini uliamua kumtokea. ? Ukalala na malaya hadi ukazaa nae. ? Pia kwa nini uliamua kuisha nae wakati ni malaya? Alikutongoza au wewe ndio ulimtongoza. ? Ameona huna matunzo, una dharau pia inawezekana humridhishi ndio maana amekumwaga sasa unanampakazia kwenye mitandao

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
Tatizo la wanaume walio wengi ni hilo, we unaona kabisaa huyu tabia zake za hovyo bado uko tuuu na mtoto anazaliwa halafu ndo unaanza kuona ubaya mpaka kwa familia yake...

Una haki ya mtoto wako kama baba, wala asikuumize kichwa huyo anataka tuu attention yako...

Huyo mwanaume wa kulea mtoto wa mwanaume mwenzake enzi hizi za Magu yuko wapiii????

Endelea kumtunza mwanao wala asikutishe
Dada
Sakayo kinachoniuma ni kumuhudumia huyo mwanamke wakati haniheshimu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Kama hata familia yao ni malaya kwanini uliamua kumtokea. ? Ukalala na malaya hadi ukazaa nae. ? Pia kwa nini uliamua kuisha nae wakati ni malaya? Alikutongoza au wewe ndio ulimtongoza. ? Ameona huna matunzo, una dharau pia inawezekana humridhishi ndio maana amekumwaga sasa unanampakazia kwenye mitandao

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Zola7
Kunimwaga hawez Mimi ndio nimesitisha mahusiano nae kwa tabia zake
Kuhusu kumridhisha bahati mbaya siwez ongelea mambo ya chumbani hapa

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Dada
Sakayo kinachoniuma ni kumuhudumia huyo mwanamke wakati haniheshimu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hapo hapakwepeki, subiria mtoto akue umchukue na usifikirie kumletea mama mlezi.. Labda umpeleke shule
 
Hapo hapakwepeki, subiria mtoto akue umchukue na usifikirie kumletea mama mlezi.. Labda umpeleke shule
Ustawi Wa jamii wao wanasemaje, ni lazima nitoe matumizi ya wote wawili?

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom