Nitakupa ushauri,ila nimesoma uzi wako mara nne kuna kitu kina kosekana uhalisia. Maneno yangu sio mazuri sana na hii inatokana na jinsi uzi ulivyo nanmaneno makali so univumilie
Kwanza umesema uliishi nae kama mwaka,bila kufunga ndoa it means ulimwokota aidha ulinogewa na penz ukaamua kuvuta ndani,japo sina hakika sana ila ndio inavyoonekana,je unawajua wazaz wake? Kwa nn umeshindwa kujitambua kwa mwaka mzima unaishi na mtu bila process yyte ya kwao??
Pili unasema unalipa billz zote sawa bt je ulitaka nani alipe?na umeshawah kuwaza usipolipa itakuwaje? Unaenda kula pale,halaf hulali kwel unatuona sisi watto kama wewe? Unakuka kila siku then ndio unaenda getto kwako kulala,?? Shame on you boy,unatafuta nn kwake kama umeamua kumwacha? Unaendaje kwa mtu uliemwacha? Kisa mtoto? Unajua je kama analalaga nje kama wewe hulali pale? Umemsikia anaongea na bwana zake still bado unapiga miguu kwake?? Are you insane boy?
Mwambie siwez kulipa bills zako tena kuanzia rent na unamwachia tu hela ya maziwa ya mtoto thats all,huko anakoendaga kulala watamlipia hapo,na usije jidanganya kwamba ww ndio unampa huyo mtoto maisha,mtoto ana maisha yake japo anahitaj malez ya mzaz lakin huwez hta kusogeza dakika moja ya uhai wake,kwa nn uumize kichwa kwa kitu cha kipuuz kama hicho?? Yy anasema atampa mtu mwngine mtoto mwambie sawa,mpe yyte bt still unajua na mtoto kbsa mtoto ni wngu,so akiamua kumpa mwambie sawa mpe tu.
Unadhan wanaume tumekua wajinga hiv mpka unileteee mtoto wako kabsa bila kukuuliza maswal magumu kuhusu mzaz mwenzako?? Wavulana wa dar([emoji16] [emoji16] ) ndio wanafanya hivi sio wanaume.
Ww kata mguu,achana nae hata mawasiliano yake block kabsa,then acha kutoa matumiz yyte yale halaf umwone atafanya nn baada ya wiki nzima,lakin ww unaenda kwake kila siku na mzigo unabunya mara moja moja halaf unakuja kuleta porojo huku? Bro usijishushe sana,,unatakiwa utii tu bas
Mwsho,binadamu wengi hatujioni na hatutambui tulivyo,biblia inasema hatuon vtu kama vilivyo bali sisi tulivyo,bt umeshaona tabia zako halis? Unajijua unavyofanya? Weka hali hyo ungekua ww ndio mwanamke ungefanyaje? Ww ni malaya,na mwanamke nae malaya so mmekutanana wote mnaonyeshana umwamba so matokeo yake ndo haya. Leo unashindwa kuamua kiume unakua na maamuz ya kivulana kwa nn? Umeamua kuacha acha jumla japo ww ndio utaumia ukikumbuka vile viuno,lakin kwa mustakabal wa maisha yako jifunze kutokana na kosa hili kwan usipojifunza kwa makosa yako kitakachokufata ni mapigo kwako.
Akikujambisha anampa mwanaume mtoto nawe unajamba tu unaogopa,mwambie sawa mpe then utaona moto wake.
Garcias