Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Hofu yangu kaka utapunguza Hatari ya bintiyo kuharibikiwa kama utamtoa hapo.....hivi na haupo what if anaingiza wanaume ana lala nao huku bintiyo anaanza kuona....

epusha Hatari hiyo sababu kama wife huko kwao kuna tatizo hilo la prostitute pengine nae alikuwa muhanga kwa aliyoyaona wakati mdogo Kwa nduguze

Mlioana kanisani au mliamua kuishi pamoja tu?

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Hatukuoana alikuja tu kwangu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.

Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.

Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura

Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.

Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.

Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
Mkuu poleeee hebu jaribu kuomba custody ya huyo kijana wetu 4 interest of our kid but make sure unarekod zinazo how mmy is in competent to rise a child

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40

Asante mkuu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Pole braza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hujanipata mkuu Mimi sio mke wangu nimezaa nae tu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Labda huelewi maana ya neno familia, huyu binti umeishi nae ndani ya mwaka sasa na mna mtoto mmoja sasa hiyo tunaitaji kama sio familia? Kwa hiyo kwasababu huyo binti hajawa mke basi sio familia? Tulia mkuu tatizo una mawazo yako hata ukishauriwa haisaidii..
 
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.

Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.

Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura

Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.

Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.

Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
Hayo ndiyo mazao ya uzinifu.

Kwanza umepima dna kuhakikisha mtoto ni wako?
 
Hayo ndiyo mazao ya uzinifu.

Kwanza umepima dna kuhakikisha mtoto ni wako?
Mkuu
Uzinifu ulitendeka ndio lakini sasa hiv tujadili kilicho mezani
Mtoto ni wangu kabisa

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa una matatizo ya kiugegedaji ndo maana alikuwa anatafuta wengine, cha muhimu jifunze kugegeda alafu umrudie atajirekebisha.
 
leo Clouds fm wameongelea issue ya drama za baby mamas inahusiana sana na hii topic
 
Sehemu Ulipokosea Ni kumuacha Na Kwenda Kupanga sehemu Nyingine It Means Kwa Hiyo Miaka 2yrs na wewe Hufanyi Mapenzi Njee Dawa Ya Tatizo Co Kulikimbia Ni Kulisolve Umesikia Tu Voice Note Unakimbia Show How Weakness Your Are Rudi Kakae Na Mkeo If Still Unampenda Otherwise Chukua Mtt wako Mpeleke Kwenu Kila Mtu Aendelee Na Maisha Yake

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wengi huchukulia kufunga ndoa kama adhabu, na hapo ndio matatizo ktk mahusiano yao huanzia!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Mkuu huo msalaba wako ubebe tu maana ndivyo ulivyoamua kuyaishi maisha yako.

Sidhani kama hapa JF kuna mtu anaweza kukusaidia
 
Mkuu najua kuwa maisha sio straight ila tunaweza kukubaliana kuwa mara nyingi huwa tunakuwa victims wa maamuzi yetu .
Kuna mtu mmoja alisema matatizo yanatokea kwa sababu huwa tunaamua mapema sana au kwa kuwa huwa tunachelewa kuamua.
Kwa hii case yako nadhani unapaswa kuamua japo hali ilivyo ni ngumu

Mkuu
Do you think life is a straight line!!?you must be kidding

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
isikute wew ndo umesababisha yeye kuwa ivyo uliishije na Malaya mpka kumpa mimba embu mpe kila kitu uone kama atachepuka wew utakuwa umemtelekeza kapata boyfrend mpya wivu unakusumbua sasa toa matunzo ya mtoto ndo zenu wenza wenu wakipata mtu
 
  • Thanks
Reactions: B40
mchukue dogo mpeleke kwa mama yako na maid wako kasaidie kwenu huyo anakufanya ATM
😉😉😉😉😉🙁🙁🙁🙁
 
  • Thanks
Reactions: B40
isikute wew ndo umesababisha yeye kuwa ivyo uliishije na Malaya mpka kumpa mimba embu mpe kila kitu uone kama atachepuka wew utakuwa umemtelekeza kapata boyfrend mpya wivu unakusumbua sasa toa matunzo ya mtoto ndo zenu wenza wenu wakipata mtu
Sio kweli ni tabia yake ambayo aliificha kabla ya kuzaa Na mm aliachika ktk ndoa akiwa kazaa watoto 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom