Ushauri wenu tafadhali

Ushauri wenu tafadhali

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.

Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.

Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.

Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?

Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced company.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hongera sana mkuu kwa kuwa na kazi ulioisomea, ushauri wangu kwako ni uendelee na kampuni yako unayoifanyia kazi ili kupata uzoefu na pia kuwa mtaalamu zaidi katika fani yako huku ukitafuta network zaidi. Hii itakusaidia pindi utakapoamua kuondoka ama kupata kazi nyingibe hutakua na hofu juu ya uwezo wako.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ongea na rafikiyo akupe a be che za hapo ofisini kwao, ila acha woga, pili ukiitwa pale ulipofanya interview huku uliko sasa omba likizo japo ya dharula atleast 2 weeks nenda kapime upepo kama utauweza.
Usije ukakurupuka........utajuta rafiki
 
Mkuu, I feel your pain.

Ukipata we nenda tu. Sema cha kwanza pambania mkataba ndio utakao kuokoa. Asilimia kubwaya wafanyakazi, wamejifunzia izo kazi makazini sio mambo waliyoyasoma vyuoni.

Nikikuambia kozi niliosoma na kazi ninayofanya, aisee, vimepishana kabisa lakini nimeijua kazi sahivi nafanya, bora liende kudadeki.

Kwahiyo mzee, kama hiyo sehemu uliofanya interview mshahara ni mkubwa na worthy it, nenda tu. Sema ondoka kwa amani hapo ulipo, usiogope ku-take rist utakuja kujuta baadae.

NB: Sema ungefanya homework ya kujua mission na vission za hiyo kampuni mpya, na kujua zile general responsibilities na duties za hiyo position yako, na uanze kusoma soma atleast uwe na ABC.
 
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.

Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.

Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.

Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?

Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced company.
Mkuu baki njia kuu mm huwa nashauri watu kubaki hapo ,kichaka kipya hata simba huwa wanawaza Sana kabla ya kuingia

Unaweza ukakuta Kuna mijamaa inaroho mbaya ukashindwa na kurudi kule ushindwe ,usiharibu maisha yako kwa tamaa

USSR
 
Sawa ila mm machare unajua machare unaweza kukucheza hata kwa ishu ya mtu mwingine

USSR
 
CCm huwa mna mawazo ya kijima sana...!!!
Mkuu baki njia kuu mm huwa nashauri watu kubaki hapo ,kichaka kipya hata simba huwa wanawaza Sana kabla ya kuingia
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.

Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.

Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.

Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?

Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced compa
Unaweza ukakuta Kuna mijamaa inaroho mbaya ukashindwa na kurudi kule ushindwe ,usiharibu maisha yako kwa tamaa

USSR
 
Mkuu, I feel your pain.

Ukipata we nenda tu. Sema cha kwanza pambania mkataba ndio utakao kuokoa. Asilimia kubwaya wafanyakazi, wamejifunzia izo kazi makazini sio mambo waliyoyasoma vyuoni.

Nikikuambia kozi niliosoma na kazi ninayofanya, aisee, vimepishana kabisa lakini nimeijua kazi sahivi nafanya, bora liende kudadeki.

Kwahiyo mzee, kama hiyo sehemu uliofanya interview mshahara ni mkubwa na worthy it, nenda tu. Sema ondoka kwa amani hapo ulipo, usiogope ku-take rist utakuja kujuta baadae.

NB: Sema ungefanya homework ya kujua mission na vission za hiyo kampuni mpya, na kujua zile general responsibilities na duties za hiyo position yako, na uanze kusoma soma atleast uwe na ABC.

Ok,ntafanyia kazi hili
 
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.

Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.

Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.

Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?

Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced company.

toa kwanza icho kipicha apo,
 
Mkuu

Kanuni ya Kufanikiwa ni Moja Tuu Kujaribu Bila Hofu...!! Unapopewa nafasi ya Kufanya makubwa na Hujui jinsi ya Kufanya Kubali Kisha jifunze Namna ya Kufanya
 
Mkuu kwanza nakushauri acha uwoga jiamini, pili kama utapita interviews zao zote na ukawa selected means uko vizuri amini uwezo wako,tena kunakuwaga na training kabla hujaachiwa hiyo kazi so utajua kazi zinafanyikaje na usisite kuuliza kwa waliopo endapo utakwama kitu.
Kumbuka huwezi kugrow bila kupata challenges ambazo ni nzuri na utajifunza vitu vipya vikubwa for both your career dvt and company growth. All the best.
 
Mkuu,

Mpaka hapo nakuhakikishia umeshafeli. Umeshajijaza hofu na imani kuwa hutoweza kufikia na kuendana na matakwa yao. Kitakachofuata ni hicho ulichojitabiria ya kufukuzwa kazi.

Hebu jitie imani kuwa utaweza na kazi zote utafanikisha. Hutokuwa mwenyewe, kuna wenzako wenye uelewa kukuzidi watakusaidia huku ukiendelea kujifunza.

Ila usiache hiyo kazi ya awali kabla ya hii kubwa haijatiki.

Lakini, safisha akili yako kwanza kabla ya yote. Unaweza kaka. Kila la kheri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom