Ushauri wenu juu huyu dada anayetaka nimuoe

Ushauri wenu juu huyu dada anayetaka nimuoe

Uko vizuri kwa kutunga story[emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Mtu umeingia jukwaa la MMU unaongelea mambo ya kibiashara, siasa na maendeleo? [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli jukwaa limevamiwa. Kama hujui yalipo majukwaa ya siasa, na biashara omba uelekezwe usivamie mada ovyo bila ya kujua iko kwenye jukwaa gani
Acha ujinga tafuta pesa kuikomboa Africa kupitia watoto ulionao. Mtu una mke maana yake ni mtu mzima lakini una mawazo mfu,unakuja hapa kuongea vitu vidogo tena vya kijinga kabisa nyie ndo mnasababisha umasikini Africa,badala uje na mada ya ufanye nini kibiashara,kilimo ili kukuza uchumi na masuala mazima ya kukua kijamii unakuja na umalaya
 
Leo ndo umenunua kifurushi kwenye kitecno umekuja jf kuongea ongea ovyo
Mtu umeingia jukwaa la MMU unaongelea mambo ya kibiashara, siasa na maendeleo? [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli jukwaa limevamiwa. Kama hujui yalipo majukwaa ya siasa, na biashara omba uelekezwe usivamie mada ovyo bila ya kujua iko kwenye jukwaa gani
 
Natumai hamjambo wananzengo.

Huu ni mwezi wa pili sasa nikiwa na sintofaham ya kufanya maamuz juu ya jambo hili, hivo nimeamua kuwashirikisha ili nipate maamuzi sahihi.

Ipo hivi kuna binti mmoja mwenye 24 years alimtuma rafiki yangu kua kapendezwa na upole wangu hivo anahitajia nimuoe hata kama tayari nina mke, mwanzo nilichukulia utani bt baada yakukutana nae ndo nikaamini kua yupo seriousa.

Hiuhalisia mke wangu ana wivu sana wala hatakagi kabisa kusikia habari za mke wa pili hivo nawaza jambo hili litakavyoiathiri ndoa yangu.

Upande wa pili huyu binti ni wife material na amekua akimtuma rafik angu zawadi mbali mbali daily, sasa wananzengo naombeni sana hekima zenu katika jambo hili ili nipate maamuz bora.
Tulia jua cha kufanya ilitakiwa utuambie kuwa tayari ana mimba na si muda atajifungua.
Mnafeli wapi vijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi mwamamke anamchumbia mwanaume loh! Haya muoe
 
Kwahiyo u-wife material unaupima kwa kuletewa vizawadi?
Kweli wanaume tumebakia wachache sana!
 
Kwahiyo u-wife material unaupima kwa kuletewa vizawadi?
Kweli wanaume tumebakia wachache sana!
mkuu acha kua boya zawadi ni sehem ya kushow love wala si kigezo cha u-wife material, mimi nimeangalia background yake kuona kama kuna uuwiano na alivyo sasa ili kujua kama anapretend or lah then nikagundua yupo sawa ndo maana nikahtaj ushauri wa nzengo huku ili nijue cha kufanya.

nashukuru kuna walionipa ushauri wa kufaa pia kuna walionipa changamoto kama ilivo kawaida kwa walimwengu.
 
Sio kwa kumfata nimwambie anioe
nae hakunifuata direct, alimwambia rafiki angu ambae anaukaribu nae tena wakiwa kwenye story za kawaida bt mkuu kama kueleza hisia tu unaona ngumu mbona mnang'ang'ana na 50/50?
 
Acha ujinga tafuta pesa kuikomboa Africa kupitia watoto ulionao. Mtu una mke maana yake ni mtu mzima lakini una mawazo mfu,unakuja hapa kuongea vitu vidogo tena vya kijinga kabisa nyie ndo mnasababisha umasikini Africa,badala uje na mada ya ufanye nini kibiashara,kilimo ili kukuza uchumi na masuala mazima ya kukua kijamii unakuja na umalaya
We kumbe mburula eeh!? Hlf ukipata huo utajir utautumia na watu gani Aya wewe unaye au huna kwan ayo maendeleo umeyapata? Huyu jamaa naye ameshindwa kutoa maamuzi km mwanaume? Yaan kuwa na familia unasubir kushauriwa eeh yaan we huna maamuz hata kdg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom