Ushauri wenu juu huyu dada anayetaka nimuoe

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,486
2,000
Natumai hamjambo wananzengo.

Huu ni mwezi wa pili sasa nikiwa na sintofaham ya kufanya maamuz juu ya jambo hili, hivo nimeamua kuwashirikisha ili nipate maamuzi sahihi.

Ipo hivi kuna binti mmoja mwenye 24 years alimtuma rafiki yangu kua kapendezwa na upole wangu hivo anahitajia nimuoe hata kama tayari nina mke, mwanzo nilichukulia utani bt baada yakukutana nae ndo nikaamini kua yupo seriousa.

Hiuhalisia mke wangu ana wivu sana wala hatakagi kabisa kusikia habari za mke wa pili hivo nawaza jambo hili litakavyoiathiri ndoa yangu.

Upande wa pili huyu binti ni wife material na amekua akimtuma rafik angu zawadi mbali mbali daily, sasa wananzengo naombeni sana hekima zenu katika jambo hili ili nipate maamuz bora.
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,424
2,000
Acha ujinga tafuta pesa kuikomboa Africa kupitia watoto ulionao. Mtu una mke maana yake ni mtu mzima lakini una mawazo mfu,unakuja hapa kuongea vitu vidogo tena vya kijinga kabisa nyie ndo mnasababisha umasikini Africa,badala uje na mada ya ufanye nini kibiashara,kilimo ili kukuza uchumi na masuala mazima ya kukua kijamii unakuja na umalaya
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,486
2,000
Hujamaliza issue ya kumzalisha binamu yako ambaye kaolewa na ana mume,halafu unataka kurukia binti mwingine? inaonekana akili yako hua inawaza ujinga ujinga tu.
mkuu jambo la binadam ni la mda mrefu na utatuzi wake ni taratibu bt hili limenikaa kooni nahitaji nifanye maamuzi hivo nahitajia ushauri wako.
 
Unforgetable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
2,338
2,000
Acha ujinga tafuta pesa kuikomboa Africa kupitia watoto ulionao. Mtu una mke maana yake ni mtu mzima lakini una mawazo mfu,unakuja hapa kuongea vitu vidogo tena vya kijinga kabisa nyie ndo mnasababisha umasikini Africa,badala uje na mada ya ufanye nini kibiashara,kilimo ili kukuza uchumi na masuala mazima ya kukua kijamii unakuja na umalaya
Aisee umejibu kwa jazba sana nadhani mtoa mada angekua karibu yako ungemsindikiza na kelebu

Kingsmann
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
Ukishakuwa na mke utajua jinsi ya ku deal na situation kama hiyo. Hakuna mwanaume kamili mwenye mke anaeweza kuuliza swali kama hilo. Maana kawaida sisi wenye ndoa tukiwa katika hali kama hiyo mtu wa kwanza kuzungumza nae kutaka ufumbuzi ni mke wako.
 
mkuu utamshirikishaje mtu asietaka jambo? hili ndo limesababisha nilete kwenu.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
24,821
2,000
Kumekucha!!!Badala Amtume Gwajima Mtaalam Wa Masuala Ya Ushenga Anamtuma Rafiki Yake
Chai Ya Hovyo Kuwahi Kutokea Inanuka Moshi Hainyweki 😀😁😅😄😃😃
 
Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,533
2,000
Ukishakuwa na mke utajua jinsi ya ku deal na situation kama hiyo. Hakuna mwanaume kamili mwenye mke anaeweza kuuliza swali kama hilo. Maana kawaida sisi wenye ndoa tukiwa katika hali kama hiyo mtu wa kwanza kuzungumza nae kutaka ufumbuzi ni mke wako.
Unaonekana bado ni mtoto umshirikisheje mke wako Jambo la kumuongezea mwenza serious labda awe muislamu lakin tofauti na hapo utaleta mgogoro katika ndoa
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
mkuu wake wengi hawapendi mitaala na hii ndo changamoto ilofanya nitake ushauri kwenu.

Sasa huyo mke umemuoa wewe au yeye ndio amekuoa? Wewe mwambie umepata mwanamke mwingine mzuri kuliko yeye na wife materials kabisa na pia anajua kukuhonga na kukupa vizawadi hivyo achague uoe mke wa pili au yeye aondoke maana hana vigezo. Hii hata kwa mtu mwenye uzoefu ndani ya ndoa kwa mwezi mmoja tu anaweza kufanya. Sasa wewe unakwama wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom