Ushauri wenu juu huyu dada anayetaka nimuoe

nae hakunifuata direct, alimwambia rafiki angu ambae anaukaribu nae tena wakiwa kwenye story za kawaida bt mkuu kama kueleza hisia tu unaona ngumu mbona mnang'ang'ana na 50/50?
Angesema anakupenda ningeelewa na sio kuomba ndoa. Huyo yupo desperate kuolewa. Tunawaambiaga wanaume tunawapenda lkn sio kuwataka watuoe. Ndoa inapaswa kutangazwa na mwanaume.
Kasome upya 50/50 inazungumzia nini.
 
Kama dini yaruhusu oa..ingawa siamini katika kugawa upendo
 
Yaan una mke halafu bado una hizi akili?
Shame , shame,
Hivi kweli mtu mzima unawaza eti wadau nishaurini,
Oa tena kwa haruc kabisaa,
Wavulana bado wengi sijui wameingiaje kwenye ndoa maskini ya Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom