Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

Ushawahi kununua au kufanya malipo nje ya nchi? Ni hivi unapata invoice yenye thamani ya unachotaka kununua,unaenda bank ni vizuri iwe bank 'yako' unawaambia nataka kulipia invoice hii kutoka kwenye account yangu ya Tzs haijalishi ni yen,yuan,$£€ wao watuma TT ya hicho kiasi na kukata kwenye akaunto yako kiasi cha shilingi kinacholingqna na hizo currency na fees zao,kazi imeisha. Wala hutabeba mahela sijui ukanunua dola ndio ulete.
Ndivyo inavyokua nimeshangaa namna mleta uzi alivyozunguka na burungutu la hela.
 
Wewe ulipewa invoice ulipie local akaunti ya $, TT unatuma hela nje. Kwa maana hii next time tuma hela Japan kwa kutumia akaunti yako.
SBT wanakubali malipo kwa local banks, kajipa ugumu wa kusaka dollar. Mwaka jana walinipa update hizo kwa WhatsApp na Email
Screenshot_20240520_150249_WhatsApp.jpg
 
Nimeagiza kupitia SBT Japan...njia ya kuagiza mwenyewe bado inanipiga chenga mkuu
Next time agiza mwenyewe haina ugumu mkuu ukikwama nitakupa namba ya sales manager wa kule Japan ninazo namba zao, na namba ya meneja wa branch ya Dar (mtu poa sana) utaenda kuhakiki invoice yako. Ingawa wadada na staff wa pale Samora watakukata sana jicho kwa kuwanyima ridhiki.
 
Poapoa mkuu nashukuru Kwa ushauri wako.... barikiwa sana
 
Wakuu...
Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia.

Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya makampuni yote ya wauza magari hawana local account Ambazo tunaweza kuhamisha hizi Tsh kwenda kwenye account zao Hadi uwe na dollar Tu.

Wahudumu wa bank wanakuambia kama unahitaji malipo ya dollar, withdrawal hiyo pesa alafu ufanye exchange Kwa dollar huku ukizunguka na kibunda cha pesa yako ya madafu ukitafuta wapi utapata...baada ya kupambana kwa muda mrefu nilifanikiwa kuhamisha pesa kwenda bank nyingine kwenye account ya mtu mwingine ili aweze kufanya malipo( hii ni mbinu ambayo unasaidiwa wa agent mwenyewe ili ufanikiwe zoezi lako).

Ushauri wangu Kwa wewe ambaye unataka kuagiza gari kipindi hiki unatakiwa ujipange na hili la uhaba wa dola.
Nashukuru kilakitu Kipo kwenye mstari na pesa imeshafika Japan na wameanza Leo kunipa update za gari Kwa njia ya email kama kawaida

Mad Max tukutane barabarani MUNGU akipenda July mwanzoni,
Nitainunua mimi 😁View attachment 2995057
Mkuu hii ikichoka nitainunua mimi 😁 ile DUN nimeikosa.
 
Ikifika tu chuma tunaibless kaka PureView zeiss congratulations sana.

Kusema kweli issue mbili kubwa, dollar na kupanda kwa gharama za shipping, mtu unaweza amua kwanza kukausha na gari lako kwa muda.
 
Ikifika tu chuma tunaibless kaka PureView zeiss congratulations sana.

Kusema kweli issue mbili kubwa, dollar na kupanda kwa gharama za shipping, mtu unaweza amua kwanza kukausha na gari lako kwa muda.
Ni kweli kabisaa mkuu maana Kwa hii Hali ya uchumi ni Bora utulie Tu gari yako bila kuuza
 
Ushawahi kununua au kufanya malipo nje ya nchi? Ni hivi unapata invoice yenye thamani ya unachotaka kununua,unaenda bank ni vizuri iwe bank 'yako' unawaambia nataka kulipia invoice hii kutoka kwenye account yangu ya Tzs haijalishi ni yen,yuan,$£€ wao watuma TT ya hicho kiasi na kukata kwenye akaunto yako kiasi cha shilingi kinacholingqna na hizo currency na fees zao,kazi imeisha. Wala hutabeba mahela sijui ukanunua dola ndio ulete.
👍
 
Back
Top Bottom