Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.