Ushauri wangu kwa hali hii inayoendelea

Ushauri wangu kwa hali hii inayoendelea

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,488
Reaction score
65,825
Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto wakafa njaa

Unaenda kupambana njee uko lakini una jua familia yako ina chakula cha kutosha ata wewe utakapo rudi una kuta chakula

Wafanya biashara anzeni kuweka vitu vyenu vizuri nikimaanisha bidhaa na wale mnao acha pesa ya mauzo dukani mka zifungia chukuenu tahadhari mapema sana
 
Hapo njiani eheee
Kuna watu walikataaga kusoma
Watakupiga beto na hela wabebe
Ila ni kheri kupoteza mauzo ya siku moja ila sio ya wiki nzima kuna wale wanauza mauzo wiki yote hela ina lala dukani bank wana peleka juma tatu ni mbaya sana
 
Acha uoga
Sio uoga ila ukweli siwezi kwenda kuandamana nikaacha familia haina chakula that why nasema mapema sana hili watu wajue

Leo una poteza biashara ya milion 40 una mkopo bank watu wameiba mali zako una anzia wapi?
 
Back
Top Bottom