Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #21
Mh iyo kazi ngumu broAh! Unaniangusha
Mh iyo kazi ngumu broAh! Unaniangusha
Maaf yasije kuwa mengi wengine wakafa njaaChef unawaza kula tu.
Familia nzima tupo roadMaaf yasije kuwa mengi wengine wakafa njaa
Za kutosha uwe una tembea nazoNibebe kondom mapema kabisa
Mpaka watoto?Familia nzima tupo road
Pumbavu 😀Nibebe kondom mapema kabisa
Aiseeeh!!Nibebe kondom mapema kabisa
Mh iyo kazi ngumu bro
Nimeandaa vitendea kazi , nikupatie baadhi?Mh iyo kazi ngumu bro
Nitumie hapo uhakikaNimeandaa vitendea kazi , nikupatie baadhi?
Wana nikosoa ety oho mimi muoga ila kaani mfikirieNaunga mkono hoja
Tatizo lako hujafanya maandalizi mapema hivyo vitendea kazi hutovitendea kwa ufasaha, tangu mwezi Jan Hadi Sasa nafanya maandalizi ya kuondoa kitambi ili nikaruke Judo vizuri siku husika.Nitumie hapo uhakika
Anza kukimbiaTatizo lako hujafanya maandalizi mapema hivyo vitendea kazi hutovitendea kwa ufasaha, tangu mwezi Jan Hadi Sasa nafanya maandalizi ya kuondoa kitambi ili nikaruke Judo vizuri siku husika.
Haya mambo wanaume tunayafanya kila baada ya muda fulani. Kikubwa akiba ya chakula iwepo ya kutosha.Wana nikosoa ety oho mimi muoga ila kaani mfikirie
KweliiYangu macho
Kweli kuanzia leo na kuendelea mambo yana weza kubadirika kila sikuHaya mambo wanaume tunayafanya kila baada ya muda fulani. Kikubwa akiba ya chakula iwepo ya kutosha.