masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,825
- 16,903
Kuanzia tarehe 20 ndo nitaweka
Ohh vzrKuanzia tarehe 20 ndo nitaweka
Uchidachi.mwaliiSasa kununua vyakula na kuweka ndani na kinachoendelea huko daslam wapi na wapi😅?
Nway krbuni ming'oko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto wakafa njaa
Unaenda kupambana njee uko lakini una jua familia yako ina chakula cha kutosha ata wewe utakapo rudi una kuta chakula
Wafanya biashara anzeni kuweka vitu vyenu vizuri nikimaanisha bidhaa na wale mnao acha pesa ya mauzo dukani mka zifungia chukuenu tahadhari mapema sana
Umebadilisha pedSasa kununua vyakula na kuweka ndani na kinachoendelea huko daslam wapi na wapi😅?
Nway krbuni ming'oko
29 ukitoa 6 zinabakia ngapi?Wafanya biashara anzeni kuweka vitu vyenu vizuri nikimaanisha bidhaa na wale mnao acha pesa ya mauzo dukani mka zifungia chukuenu tahadhari mapema sana
Ukibadilisha ww inatoshaUmebadilisha ped
Kwako maana ya kuandamana ni kuiba vitu madukani?Sio uoga ila ukweli siwezi kwenda kuandamana nikaacha familia haina chakula that why nasema mapema sana hili watu wajue
Leo una poteza biashara ya milion 40 una mkopo bank watu wameiba mali zako una anzia wapi?