Ushauri Wakuu Fridge kwa bajeti ya Around 400K

Ushauri Wakuu Fridge kwa bajeti ya Around 400K

Underground karibu na klabu ya mikia
Underground mule kama su mzoefu utakutana na madalali wa kila rangi yaani watu wanaishi kwa aina hiyo k/koo vizuri aende yale maduka ya wahindi nishawahi nunua brenda ya nikai kwa 70k ambayo maduka ya wabongo huku china plaza wanauza 105k 3 in One ko ni vizuri awe makini.
 
Ni kweli pia azingatie zile frji ambazo inapiga kazi. Kuna baridi ikifika linajizima kwa mudam linakaaa mpaka baridi ikipungua linashtuka tena.

Hii inasaidia sana kupunguza katumizi ya umeme
Inaitwa thermostart kama sikosei, ni muhimu sana maana inasaidia ku-save umeme pindi baridi inapokuwa imetosha na ikipungua inajiwasha yenyewe. Ile ni muhimu sana na pia liwe la watts ndogo. Kwenye watts inabidi tuzingatie sana tunaponunua vifaa vyote vya umeme hususan TV, Pasi, Majiko ya Umeme, Mafeni, Radio, Taa n.k
 
Mfano mzuri tusaidie watts atleast isizidi ngapi?
1.Kwa Pasi
2.Feni
3.Tv
4.Radio
5.Jiko la umeme

Ahsante🙏
 
Mfano mzuri tusaidie watts atleast isizidi ngapi?
1.Kwa Pasi
2.Feni
3.Tv
4.Radio
5.Jiko la umeme

Ahsante🙏
Sio mtaalam sana wa hivyo vitu lakini ukienda dukani haswa kwa wahindi wanaouza vitu original kama pale Phillips Clock Tower n.k watakuelekeza vizuri sana
 
Ulimaanisha matumizi ya kiseja au kisela?

Ok kama ni kiseje natumai upo na mtu hapo mnaishi pamoja bila ndoa. Basi tafuta Jokofu simple lipya kabisa unapata

Kama ni kisela basi hapo ina maana upo mwenyewe tu labda anakuja na kuondoka mtu basi hapo ata 300K unapata jokofu simple dogo fresh jipyaa kabisa.

Brand tafuta Nikai, European au Boss hizi naziona nzuri kwa mtazamo wangu

NB: Kamwe! Usinunue jokofu la MTUMBA/USED pia Kamwe usinunue jokofu kubwa kama kabati kisa ufahari. Utajutia matumizi mabaya ya fedha zako
Mseja ni asiyeoa/kuolewa au tunamwita bachelor.
 
Tafuta 300K unapata kafriji safi kapya simple rangi inawaka kama ya Range Rover sport, wanaviita friji mayai hata umeme havijui kula, yaani kafriji flani ukifunga mlango unaweza hisi umekaumiza [emoji23]

Daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakahitaji haki mkuu .niko mkoa nipe connection ya bei au hata models niigugo nijue
Tafuta 300K unapata kafriji safi kapya simple rangi inawaka kama ya Range Rover sport, wanaviita friji mayai hata umeme havijui kula, yaani kafriji flani ukifunga mlango unaweza hisi umekaumiza [emoji23]
 
Nipatie contacts nijilipue na hio Brenda plz na model yake nijilipue
Underground mule kama su mzoefu utakutana na madalali wa kila rangi yaani watu wanaishi kwa aina hiyo k/koo vizuri aende yale maduka ya wahindi nishawahi nunua brenda ya nikai kwa 70k ambayo maduka ya wabongo huku china plaza wanauza 105k 3 in One ko ni vizuri awe makini.
Ke
 
Kweli kuna Duka la Boss unakuta watu wengi sana stand ya Congo upande wa kulia kama waenda Mnazi
Walanguaji wale nyoosha ile road kama unaenda mnazi mmoja ila haufiki mnazi mmoja anzia congo pale cheza left na right mitaa hiyo ndio kuna fridge za bei nzuri yaani wholesalerna Dealer hasa usidili na wabongo deal na Wahindi wabongo ni madalali hivo akikwambia bei laki 7 basi ujue hapo ni laki 6 hadi 5 na nusu.
 
Nakahitaji haki mkuu .niko mkoa nipe connection ya bei au hata models niigugo nijue

Upo mkoa gani mkuu, ila brand zipo Boss, Mr. UK na kuna za SamSam nimeziona nazo japo hizi sina uhakika nazo. Ila ni friji flani ina urefu kama Futi 4 hivi na upana ft 2.5 viko poa kigeto geto
 
Niko lindi kuna friji ndogo
Niliona lt 80 niliipenda sana aisee sema si kupata mda wa kuchunguza na kumuuliza mhusika ila nilikapenda

Sawa mkuu, hivi vifriji vidogo kwa matumizi ya geto naviamini wala usiwe na shaka nacho mkuu. Wasalimie watu wa huko Lindi mkuu.
 
Back
Top Bottom