Chiomaizwe
Member
- Apr 9, 2015
- 24
- 41
- Thread starter
- #41
Shikamoo dada gfsonwin,
ama baada ya salamu nikuulize kwa nini mimi sijaitwa? Halafu tangu nirudi mjini sijakuona...u hali gani???!
BACK TO TOPIC...
Namfahamu mmama mmoja ambaye hakuolewa tena tangu mumewe amuache, hadi leo ana matumaini mumewe atarejea. Sijawahi kuelewa mental psychology ya mwanamke ila nikiwaza huyo mama anachofikiria kumtegemea mumewe 10+ years after amemuacha na watoto (halafu watatu..coincidence!!!???) sipati jibu.
My thought ni...kama huyo DB (BD?) anakuja aje...wakae tu pamoja waongee tena, kwa kirefu...amweleze hofu yake...wahenga wanasema 'two heads are better than one'. wakikaa pamoja wakaongea nadhani watapata suluhisho.
From there filing for divorce na mengine yatafuata.
Hofu yangu tu ni mwanamke ambaye bado ana mapenzi kwa mtu mwingine -in my view - ni hatari kuliko mwanaume mwenye mapenzi na mtu mwingine. Ni heri angebaki single tu kuliko kumuingiza DB (BD?) kwenye maumivu kama aliyonayo yeye.
Ni hayo tu...!
Cc: Paloma Watu8 ....
Ahsante sana ndugu kwa usahuri wako huu.
Mie lakini bado sijampa DB go ahead manake pia wanangu sijui nitawaambia nini jamani