selina mrembo
Member
- May 18, 2020
- 54
- 68
Kipindi nimeanza chuo nilikuwa na hulka ya kusoma hivyo nikajikuta nasoma sana nakufahuru vizuri cheti changu kina A na B tu sap nilikuwa naisikia tu lakini huo mwaka nilikuwa na matizo makubwa sana licha ya ufahulu huo.
Nilisoma kwa stress jamani iyo hali imeniaffect akili nakujiona saizi hii diploma kama ntaenda kuishia kufeli najikuta sina nguvu tena najikuta nawaza tu muda wote je wewe unanishauri niende tu nikaendelee na diploma yangu nikienda chuo mawazo yataisha au nifanyeje?