Ushauri: Wadada acheni kuwaambia wanaume wana vibamia

Ushauri: Wadada acheni kuwaambia wanaume wana vibamia

Kuna mahala mtu alicoment kwenye picha yako ati...

Muone kwanza na hizo rangi kwenye nyusi zake... nikabaki nacheka tu...


Cc: mahondaw


wapi huko namimi nikajionee Kapicha na turangi kwenye nyusi ??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????!!!!!!!!?????!!!!!!???
 
Yule mkaka na yy angemwambia mbona ww una bwawa mm sisemi, anyway ukimchoka mtu muache tu kwa uzuri sio lazima mtangazane mapungufu yenu
 
Si kweli kwamba mwanaume ukimwambia ana kibamia ndio umemmaliza anaweza hata kujiua, SIO KWELI!, hebu niambie mimi kwamba nina kibamia uone kama nitajiua.
 
Mkuu,,usiombe kuambiwa una kibamia,hata akikwambia kwa SMS ,utahisi unamuona yuko mbele ya waandishi wa habari,mezani kuna ma mic ya ,CNN , AL JAZEERA ,DW , FOX NEWS , BBC , AFP , CLOUDS , ITV ,CHANNEL TEN , CCTV ,TBC ,CAPITAL TV , BUKEDE TV , KTN ,KBC
Acha upuuzi mkuu, kwani mwanaume mwenye kibamia akigegeda demu hasikii utamu?, hamwagi shahawa? Sasa wewe mwanaume umemtia demu, ukasikia raha hadi ukamkojolea, akikuambia una kibamia unapungukiwa nini? Hata akienda kutangaza wewe shida yako nini? Hebu kueni acheni utumbafu huo!!
 
Unapokua na urefu wa FUTI 5 ukaingia kwenye gari aina ya VITS, IST unahisi kwamba wewe unapaswa kuwepo pale, unapokua na urefu wa FUTI 6, ukaingia kwenye aina hizo za gari pia utahisi umetoshea vizuri, unapokua na FUTI 6+ ni wazi gari hizi utakua unazilazimisha uwepo wako pale!

Tuambiane ukweli tu unapokua na FUTI 5 alafu ukaingia kwenye Hummer au Landcruiser mkonge, au PRADO utahisi tu kupwaya na usilalamike tafuta gari ya saizi yako.

Ahsante
 
Meona ee
Ila kumwambia mwanamke ana bwana ni fahari yake mana wanawake wote wanazaa. .. sasa kama ulinikuta na bwawa ukanipenda na kunigharamikia why unaongea now?!

Bwawa ni fahari baby!
Basi na kibamia ni fahari hahaha, all ni all, si inshu kusemana mkishatengana
 
Nimekupenda Money Penny! Kwa hiyo kama vipi fresh tu..
Mimi ninachosema, ni kwamba mimi mwanaume ndiyo nimepata raha na nimeridhika, kama hujaridhika, who is to complain? mimi au wewe?, kama utasema nina kibamia, inawezekana wewe ndio hujaenjoy, sasa kwa kwa nini mimi ndio niumie?
Kwani umenipenda?!
Ngoja umpende demu umgharamikie alafu akwambie unakibamia uone


My friend, sisi wanawake tunafekishaga kama haujui

Ili tusigombane na hela yako naitaka nitajiliza weee mpaka ukojoe kumbe hamna raha ulionipa

Me nadhani mademu wote uliowapa mechi walikuwa hawakwambii ukweli ila siku utakapompata kichaa kama Penny hapo ndio utaisoma namba

Nina wasiwasi na size ya machine yako mbona unatetea sana kibamia?!
 
Asante mkuu
Najua ndivo mungu alivopenda sina haja ya kumlaumu au kunung'unika nacho amini wapo wengi tu wenye kuniaccept
Hakuna kulaumu tumepewa bure hatujanunua kifaa kinafanya kazi basi muache aende zake huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom