Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
- Thread starter
- #21
Umetumwa? Wat is it abt 90M walizopewa wabunge wote? Y r u keep asking abt chadema MPs should do this/that?? R u their wife/husband??
Ni wivu ulionao au nn...mbona ccm toka 60's walikula hizi hela sijawai kusikia hili wazo lako, ama umezaliwa juzi??
Tuambie jambo kuhusu wabunge wote wafanyeje? Wao cdm wakishanunua mitambo halafu?? Waingie mikataba na tanesco?? In wat terms?? Serikali ya ccm unafikiri ipo ku-support huu ushuzi,au unataka ile kwao...u r dreaming
Umenielewa vibaya. Sina maana wanyang'anywe pesa hizo ila watumie pesa hizo kujenga zaidi hoja ya kisiasa na kiuchumi kwa wananchi. Na pesa hizo si watoe bure, ila zitolewe kimkopo na wananchi wenye nafasi nao wachangi na baadaye warudishiwe pesa zao kwa vile umeme ni kitega uchumi. Hapa si wivu na ni wivu wa kimaendeleo kwa manufaa ya kukuza ushindani wa kisiasa nchini.