USHAURI: Wabunge wa CHADEMA wanaweza nunua mitambo ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USHAURI: Wabunge wa CHADEMA wanaweza nunua mitambo ya umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Mar 6, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Natoa ushauri muhimu kwa chama cha chadema kujenga hoja nzuri kwa watanzania kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa vile wameonyesha kutokuwa na ubinafsi. Tunataka vitendo si maneno tu na huu ni ushauri wangu binafsi kwenu wabunge kama mna uchungu na matatizo ya nchi hii.

  Milioni 90 ambazo kila Mbunge amepata kimkopo kununua magari nawashauri kwamba
  65 - 70% ya pesa hizo kwa kila Mbunge wa Chadema wachange na kununulia mitambo ya kufua umeme kwa pamoja na pesa hizo warejeshewe kwa utaratibu maalum watakaokubaliana baada ya umeme kuanza uzalishaji. Chadema ina wabunge karibu 40 wanaweza nunua mitambo hiyo ya umeme haraka na hivyo watakukwa wamejenga hoja ya msingi Kwa watanzania kwamba wanauchungu na nchi hii. Na kama kuna wabunge wengine wa upinzani wanaunga mkono hoja hiyo mwaridhie washiriki kwani ndio ushirikiano tunaotaka

  Kumbuka Wabunge wa UK walifanya vivyo hivyo kunusuru bajeti ya nchi walipoingia madarakani.

  Wanajamii Forums mnaonaje?

  Dada Regina Mtema tafadhali peleka ujumbe huo kwa Wabunge wenzako, na walio tayari wafanye hivyo kwa moyo wa uzalendo.

  Napatikana: sndoyela@yahoo.com
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nashangaa mamilioni ya pesa wanazopewa Wabunge kununua magari na huenda sio wote wanaotaka kuchukua mikopo hiyo.
  Pesa hizo zingeelekezwa kununulia mitambo ya umeme kupunguza makali ya mgao lingekuwa jambo la busara zaidi.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gasi ni zaidi ya shilingi billioni 300, jumla ya mkopo kwa wabunge wote ni bilioni 27 hiyo tofauti ya bilioni 273 zitatoka wapi?
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wazo zuri lakini naomba niongezee kwamba instead of wabunge kuchanga wananchi tuchange, wananchi milioni 30 wakichangia buku kila mmoja kesho tutakuwa na bilioni 3, najua wote wahatachangia lakini wako wataochangia zaidi ya buku, itakuwa poa wabunge wa chadema wakajifunga mkanda tukaenda nao sawa katika hili, kama tulivochangia kampeni tunaweza kuchagia ununuzi wa mitambo
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  gongo nuksi!
   
 6. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wivu wa kike na mawazo yako mafupi ndo vinakudanganya. Je watawatumikia wanachi kwa bajaj???
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  he who laughs last think slowest, yaani miaka yooote we ndo unagundua leo?
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono wazo lako.
  Operation Sangara iende sambamba na harambee ya kuchanga pesa za kununulia mtambo wa kufua umeme.
  Kwa vile uzalishaji umeme ni investment, wanaochangia watarudishiwa pesa zao kwa utaratibu wa mikopo baada ya kutengamaa umeme kuingia grid ya taifa.
  Wananchi wana pesa ila kinachokosekana ni organization.
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hii nzuri mkuu!
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nategemea Viongozi wa Chadema hupita hapa Jamii forums bora waangalie maoni haya na kama wanaona yanafaa basi wayafanyie kazi.

  Action speaks louder than words
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Naomba kutofautiana. Chadema wapewe hela za makusanyo ya kodi (TRA) kwa miezi miwili tu. Wataleta mtambo.
   
 12. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Ni wazo nzuri lakini tuangalie upande wa siasa utakuwa je? Msije mkakiua chama kwa kitu ambacho kinaweza kujeuza imani za watu haraka watakapoanza kuwashambulia Chadema japokuwa watakuwa wamefanya kwa imani nzuri, lazima muangalie na upana wake. Ningeshauri kama linawezekana lishugulikiwe kikanda kutokana na watumiaji hii kurugenzi iliyopo ivunjwe kabla ya yote. Wizara ibaki ikisimamia kikanda hapo hata serikali itapata mapato yake na watakuwa karibu na wananchi zaidi. Hapo ufanisi utakuwepo na unaweza kumwajibisha mtu ambae sio mtendaji. Lakini mnafikiri serikali hawana hela za kununua hiyo mitambo au ni kupeana kazi tu na ushikaji umezidi. Hii longolongo isingekuwepo kama serikali ingekuwa na utayari wa kulimaliza. Sema ile ni sehemu ya wakubwa.
   
 13. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Kwani tangu waanze kututumikia kwa hayo ma-VX matunda yake ni yapi?
   
 14. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hii nzuri lakini je hicho kiasi kitatosha? Mimi nadhani maisue kama haya ndiyo ya kuhamasishana kwa nguvu zote na sio kushinda kwenye majukwaa kulalama. tunaomba wataalam wa tafiti wafuatilie hili waone kama tunaweza kufikia lengo. Nauhakika katika suala hili halitokuwa na chama watz wote watalipokea kwa mikono miwili pia nahisi hata gharama zitashuka kwani ni mali ambayo kila mtanzania atakuwa ametoa kiasi chake.
   
 15. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  watu kama wewe huwa siwapendi, wana mawazo ya kiccm. kinachotakiwa ni kwamba suala la utaifa ndilo linatakiwa liwe mbele sana na si kuanza kuleta mawazo ya kujenga chama.Nchi kwanza inajengwa then vyama.
   
 16. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umetumwa? Wat is it abt 90M walizopewa wabunge wote? Y r u keep asking abt chadema MPs should do this/that?? R u their wife/husband??
  Ni wivu ulionao au nn...mbona ccm toka 60's walikula hizi hela sijawai kusikia hili wazo lako, ama umezaliwa juzi??

  Tuambie jambo kuhusu wabunge wote wafanyeje? Wao cdm wakishanunua mitambo halafu?? Waingie mikataba na tanesco?? In wat terms?? Serikali ya ccm unafikiri ipo ku-support huu ushuzi,au unataka ile kwao...u r dreaming
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri sana kama malengo yangekuwa kama unavyofikiria, ila nasikitikitika tu malengo yao si ya hayo.
   
 18. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashauri tusitegemee makubwa kupita kiasi kutoka kwa wabunge hawa! (we shouldn't expect too much! Instead of asking what the should do for us, let's join forces to empower them to deliver, instead of kuanza kuwananga nanga bila mantiki! naona tunaelekea kutaka mpaka tugawane nao hadi suti zao!:decision:
   
 19. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Msitishwe na fungu la dowans maana wale dowans ni mabeberu, fungu jilo la chadema linatosha kabisa.
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Lyatonga Mrema alitaka kuleta umeme wa bei poa toka USA, kumbuka jinsi CCM walivyozima mpango huo, licha wawekezaji toka Marekani walishafanya utafiti wao na kukubali kuwekeza.

  Kumbuka vitimbi alivyofanyiwa Slaa wakati ameanzisha mradi wa maji kwa wananchi wa jimbo la Mbulu.

  Serikali ya ccm sifa yake ni kuona Watanzania wa wanaishi kwenye maisha ya kifukara maisha yao yote.
   
Loading...