USHAURI: Wabunge wa CHADEMA wanaweza nunua mitambo ya umeme

Umetumwa? Wat is it abt 90M walizopewa wabunge wote? Y r u keep asking abt chadema MPs should do this/that?? R u their wife/husband??
Ni wivu ulionao au nn...mbona ccm toka 60's walikula hizi hela sijawai kusikia hili wazo lako, ama umezaliwa juzi??

Tuambie jambo kuhusu wabunge wote wafanyeje? Wao cdm wakishanunua mitambo halafu?? Waingie mikataba na tanesco?? In wat terms?? Serikali ya ccm unafikiri ipo ku-support huu ushuzi,au unataka ile kwao...u r dreaming

Umenielewa vibaya. Sina maana wanyang'anywe pesa hizo ila watumie pesa hizo kujenga zaidi hoja ya kisiasa na kiuchumi kwa wananchi. Na pesa hizo si watoe bure, ila zitolewe kimkopo na wananchi wenye nafasi nao wachangi na baadaye warudishiwe pesa zao kwa vile umeme ni kitega uchumi. Hapa si wivu na ni wivu wa kimaendeleo kwa manufaa ya kukuza ushindani wa kisiasa nchini.
 
wazo zuri lakini naomba niongezee kwamba instead of wabunge kuchanga wananchi tuchange, wananchi milioni 30 wakichangia buku kila mmoja kesho tutakuwa na bilioni 3, najua wote wahatachangia lakini wako wataochangia zaidi ya buku, itakuwa poa wabunge wa chadema wakajifunga mkanda tukaenda nao sawa katika hili, kama tulivochangia kampeni tunaweza kuchagia ununuzi wa mitambo
Wazo zuri na naomba mimi niwe mshika fedha hizo!
 
Nashauri tusitegemee makubwa kupita kiasi kutoka kwa wabunge hawa! (we shouldn't expect too much! Instead of asking what the should do for us, let's join forces to empower them to deliver, instead of kuanza kuwananga nanga bila mantiki! naona tunaelekea kutaka mpaka tugawane nao hadi suti zao!:decision:

Siasa mchezo mzuri mno na unahitaji tu akili, uamini na usiamini Mbunge wa Arusha anawasomesha watoto 60 katika jimbo lake, ulitegemea uwezekano huo?
Kama Chadema operation Sangara wakafanya kwa nchi nzima wenyewe wakiwa vinara hakuna kitakachoshindikana.
 
Hii nzuri lakini je hicho kiasi kitatosha? Mimi nadhani maisue kama haya ndiyo ya kuhamasishana kwa nguvu zote na sio kushinda kwenye majukwaa kulalama. tunaomba wataalam wa tafiti wafuatilie hili waone kama tunaweza kufikia lengo. Nauhakika katika suala hili halitokuwa na chama watz wote watalipokea kwa mikono miwili pia nahisi hata gharama zitashuka kwani ni mali ambayo kila mtanzania atakuwa ametoa kiasi chake.

Hayo mahesabu yasikutishe kwani taratibu za kuagiza mitambo na serikali hufanywa kwa mizengwe mingi sana kwa ajili ya kushibisha matumbo yao kwanza, badala ya kufikira masuala ya umma.
 
Mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gasi ni zaidi ya shilingi billioni 300, jumla ya mkopo kwa wabunge wote ni bilioni 27 hiyo tofauti ya bilioni 273 zitatoka wapi?

jamaa anaota ndoto hajapiga hata mahesabu
 
Operation Sangara tuende sambamba na kuchangisha pesa za kukunua mitambo ya kufua umeme, hapo tutakuwa tumejenga hoja nzito na kuonyesha uwezo wetu katika kambi ya upinzani kuwa tunafanya hivyo sasa je tukiingia madarakani tutafanya zaidi.
 
Na ninaamiamini Chadema inavyokubalika kwa sera zake, wengi watajitokeza kuchangia ununuzi wa mitambo ya umeme kwa mfumo wa mikopo ambao baadaye watarejeshewa pesa zao baada ya mitambo kuanza kufua umeme.
 
Operation Sangara tunaomba iende sambamba na kuchangisha pesa za kununua mitambo ya kufua umeme
 
Mawazo ya shetani siku zote husipo kuwa makini utadhani yanafaa
 
Natoa ushauri muhimu kwa chama cha chadema kujenga hoja nzuri kwa watanzania kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa vile wameonyesha kutokuwa na ubinafsi. Tunataka vitendo si maneno tu na huu ni ushauri wangu binafsi kwenu wabunge kama mna uchungu na matatizo ya nchi hii.

Milioni 90 ambazo kila Mbunge amepata kimkopo kununua magari nawashauri kwamba
65 - 70% ya pesa hizo kwa kila Mbunge wa Chadema wachange na kununulia mitambo ya kufua umeme kwa pamoja na pesa hizo warejeshewe kwa utaratibu maalum watakaokubaliana baada ya umeme kuanza uzalishaji. Chadema ina wabunge karibu 40 wanaweza nunua mitambo hiyo ya umeme haraka na hivyo watakukwa wamejenga hoja ya msingi Kwa watanzania kwamba wanauchungu na nchi hii. Na kama kuna wabunge wengine wa upinzani wanaunga mkono hoja hiyo mwaridhie washiriki kwani ndio ushirikiano tunaotaka

Kumbuka Wabunge wa UK walifanya vivyo hivyo kunusuru bajeti ya nchi walipoingia madarakani.

Wanajamii Forums mnaonaje?

Dada Regina Mtema tafadhali peleka ujumbe huo kwa Wabunge wenzako, na walio tayari wafanye hivyo kwa moyo wa uzalendo.

Napatikana: sndoyela@yahoo.com

Pumba.
 
Bahari ipoo maji hayapungui wala mawimbi zaidi ya kuongezeka,kwa nini tusituumie bahari kuzalishia umeme ? Tunaweza kuzalisha umeme wa bahari kwa kutumia mawimbi,uwezekano upo,na umeme huu tunaweza kutumia tanzania nzima na tukawagaiya wengine...

Tusiandikie mate wino upoo angalieni hapa nawaekea mujifunze wazalendo

YouTube - HARNESSING THE POWER OF WAVES & TIDES

na nyengine hapa umeme wa mawimbi ya bahari.

YouTube - Pelamis at Aguçadoura

na mwengine huu umeme wa mawimbi ya bahari.
YouTube - Ocean power delivery

Pia tuna uwezo wa kuwepo umeme wa wind au upepo kwa kiswahili
YouTube - Deck's Geo-Electrical LTD Wind Turbine
 
Mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gasi ni zaidi ya shilingi billioni 300, jumla ya mkopo kwa wabunge wote ni bilioni 27 hiyo tofauti ya bilioni 273 zitatoka wapi?

Billion 27 zinatosha sana kuwa downpayment. Actually inakaribia 10%. Haya Chadema fanyeni kazi acheni blah blah. Toeni hiyo downpayment.
 
Natoa ushauri muhimu kwa chama cha chadema kujenga hoja nzuri kwa watanzania kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa vile wameonyesha kutokuwa na ubinafsi. Tunataka vitendo si maneno tu na huu ni ushauri wangu binafsi kwenu wabunge kama mna uchungu na matatizo ya nchi hii.

Milioni 90 ambazo kila Mbunge amepata kimkopo kununua magari nawashauri kwamba
65 - 70% ya pesa hizo kwa kila Mbunge wa Chadema wachange na kununulia mitambo ya kufua umeme kwa pamoja na pesa hizo warejeshewe kwa utaratibu maalum watakaokubaliana baada ya umeme kuanza uzalishaji. Chadema ina wabunge karibu 40 wanaweza nunua mitambo hiyo ya umeme haraka na hivyo watakukwa wamejenga hoja ya msingi Kwa watanzania kwamba wanauchungu na nchi hii. Na kama kuna wabunge wengine wa upinzani wanaunga mkono hoja hiyo mwaridhie washiriki kwani ndio ushirikiano tunaotaka

Kumbuka Wabunge wa UK walifanya vivyo hivyo kunusuru bajeti ya nchi walipoingia madarakani.

Wanajamii Forums mnaonaje?

Dada Regina Mtema tafadhali peleka ujumbe huo kwa Wabunge wenzako, na walio tayari wafanye hivyo kwa moyo wa uzalendo.

Napatikana: sndoyela@yahoo.com

Na wewe kweli utajihesabu miongoni mwa great thinkers? nani alikuambia kuwa miradi mikubwa kama ya umeme inawezekana kwa mishahara ya wabunge 40. Nilitegemea utawaambia watanzania wawape Chadema dola ili waonyeshe umahiri wao katika kukusanya kodi na kutoa huduma za jamii kama umeme kwa wananchi.
 
Mnataka kupewa Dola bila ya kuwa na plan ya vp mtawakomboa watanzania katika umaskini kweli Chadema nasema kila siku ni bunch of opportunist tu!!!
 
Natoa ushauri muhimu kwa chama cha chadema kujenga hoja nzuri kwa watanzania kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa vile wameonyesha kutokuwa na ubinafsi. Tunataka vitendo si maneno tu na huu ni ushauri wangu binafsi kwenu wabunge kama mna uchungu na matatizo ya nchi hii.

Kumbuka Wabunge wa UK walifanya vivyo hivyo kunusuru bajeti ya nchi walipoingia madarakani.

Wanajamii Forums mnaonaje?

Dada Regina Mtema tafadhali peleka ujumbe huo kwa Wabunge wenzako, na walio tayari wafanye hivyo kwa moyo wa uzalendo.

Napatikana: sndoyela@yahoo.com

Na wa Chadema watalifanya hilo bila ajizi lakini muwape kwanza madaraka.
 
Kwani tangu waanze kututumikia kwa hayo ma-VX matunda yake ni yapi?
Ni haya ya kuitoa kamasi CCM na serikali yake, kuisababishia CCM na serikali yake kupata kiwewe na degedege kama tunavyowashuhudia wakihunyahunya baada ya wabunge wa CDM kwenda kwa wananchi kuwaeleza ukweli juu ya unyang'au uliosheheni ndani ya chama chenye nembo ya nyundo ya kuwaponda wananchi masikini kichwani na jembe la kuwafukilia. Zaidi sana subiri awamu ya pili ya operesheni Sangara.
 
Huo sio udikteta Mag3 upewe madaraka wakati wananchi hawakutakini, kwa lipi mpewe madaraka?

Naona umedandia gari kwa mbele. Nilikuwa namjibu mtoa hoja kwa kudai kuwa Wabunge wa UK walifanya vivyo hivyo kunusuru bajeti ya nchi walipoingia madarakani. Bila shaka hawangeweza kulifanya hilo wakati hawako madarakani.
 
Sijadandia bali nauliza swali la msingi kwanini mpewe madaraka wakati hamsemi mtawafanyia nini watanzania? Unajua Mag3 ushabiki pembeni watu wanaoisupport Chadema ni watu wasio na chama chochote je nikuulize ikija kutokea CCM wakabadilika mmeshajiandaa?
 
Back
Top Bottom