Ushauri wa Waislamu siku ya sikukuu ya idd. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa Waislamu siku ya sikukuu ya idd.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by King Kong III, Aug 15, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari wana bodi,
  Nimejaribu kufatilia sikukuu hasa za idd kama nne hivi za nyuma,nimegundua kila sikukuu ya idd lazima ile vichwa vya watu(tena vya kutosha),baadhi ya matukio ni
  •kufa kwa watoto kwenye ukumbi wa disco TBT
  •kufa kwa watoto ukumbi wa disco tabora
  •Watu/watoto wengi waliofariki kwenye spice islanders ni wale waliotoka kula idd
  •Ajali za kugongwa na kuzama baharini siku za idd rate yake inakua kubwa sana

  Ushauri.
  Najua mlikua likizo ya hayo mambo so mnaenda kufungulia kwa mzuka mkubwa,tulizaneni home na familia!
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  At a glance! Frankly it's good advice .
   
 4. W

  Wajad JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,125
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Hakuna uhusiano wowote kati ya hayo matukio na sikukuu ya idd, yangeweza kutokea siku yoyote.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,112
  Trophy Points: 280
  Idd naenda kukesha kanisani, kisha najifunika kwa damu ya Yesu halafu tuone hilo pepo la mabalaa litatokea wapi
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  KK, huu uchokozi sasa. Lol!
  Acha wenzio wajinafasi, nakubaliana na wewe kuhusu watoto lakini. Waacheni watoto wawe watoto. Disco watajaenda wenyewe.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,788
  Trophy Points: 280
  Kwa macho yangu nimeuona mwezi leo alfajiri. Hii inamaanisha nini?
   
 8. B

  Bichau Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ina maanisha mwezi wa Ramadhan unaishia na soon utaanza mfungo mosi, in about two to three days to come. ulichoona ni " mwezi mwembamba ambao unamalizika".
   
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Aiseeee! Kabla ya kufunga huwa kunakuwa na vunja jungu, nadhani baada ya mfungo unda jungu inatakiwa iwepo na ndio hiyo! Hebu waache wenzio waji-enjoy!
   
 10. sister

  sister JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  ushauri mzuri ila sidhani kama watauzingatia.............especial kuachwa watoto watembee wenyewe bila ya kuwa na mkubwa ambaye anaweza kuwaongoza.
   
Loading...