FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,814
- Thread starter
- #21
Shukran Reuben, nilipita mwaka huu mwanzoni pale Hasstech, kuna namna finish ya nje ya simu za Xiaomi hazikuniridhisha, Ngoja nizione hizi sifa zake. Again nashukuru kwa ushauri.Tafuta Xiaomi 14T au Xiaomi 14T Pro ndio best kwa bei hiyo
Kama unataka midrange za karibuni nunua Samsung Galaxy A56
Lakini pia unaweza kupata Samsung Galaxy S23 (ile plain sio Ultra) ambayo ni bora kuliko zote hapo juu isipokuwa yenyewe imetoka mwaka 2023
Hyo s23 plain most ni used sio kwa bei hyo?