FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,103
- 2,772
Salaam Wakuu,
Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000].
Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda.
Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa mdau wa samsung kwa miaka 14 sasa.
Kazi zangu sana sana ni streaming, na mpakuaji wa movies sana yaani kwa ujumla heavy internet user.
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa Reuben Challe