tztz
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 275
- 258
- Thread starter
- #61
Ongeza mzigo huo ukachukue S22 mpya dukani achana na kubeti na refurbished
Zinapatikana wapi?Chukua Note 10 plus From South Korea. Zipo very good na sio refubrished.
Vipi chamgamoto zake?Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wachangiaji wote na mlionipa ushauri nmefanikiwa kuchukua samsung galaxy note 10+ 5g storage Gb 256
Nichek (0687968594) whatsapp au normal calls nikuelekeze uje ofisini ujipatie simu kutoka south korea.Zinapatikana wapi?
Duh kumbe kapuku hivyo? Simu ya 2019 unaiulizia leo?Zinapatikana wapi?
Ni hela yangu!Duh kumbe kapuku hivyo? Simu ya 2019 unaiulizia leo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni hela yangu!
Mimi sipati hela kwa kugawa tigo kwa beberu kama wewe!
HOW TO PROPERLY UNLOCK?Ni Tatizo mkuu, Either simu haina Frequency husika ama haijakua properly Unlocked.
Ni kazi za watu hizi mkuu, most of time utahitaji fundi mwenye box.HOW TO PROPERLY UNLOCK?
Simu yangu ni SAMSUNG C5... inakuaga na problem kama alivyosema mdau fulani hapo juu... i.e mnara/signal inacheza, vijijini/mikoani au ata pale kisemvule network inakata kabisa huwezi kusurf mitandaoni wala google wala wsap... pia these days line zote mbili haiwezekaniki kutumika at same time ni line moja tu at a time. Mara igome kuingiza vocha au kusimbanking, kutopatikanika ikipigiwa call haiji... Line nazopenda ni vodacom na halotel.Ni kazi za watu hizi mkuu, most of time utahitaji fundi mwenye box.
Kuna baadhi ya Mitandao wanablock Frequency, wanachofanya wao wanaachia tu frequency za mtandao husika, ina maana ikija Tanzania hii simu itachagua Mitandao,
Inachotakiwa hapa ni kutafuta Fundi mwenye uelewa wa Ku unlock bands, aruhusu band kama 800(Tigo 4g mikoani na nje ya jiji), 1800 (Tigo 4G katikati ya Jiji), 2100 (Tigo 3G nchi nzima) na Band nyengine za 2G.
Sometime hata sio lazima Box kunakuwa tu na Ussd code za kutumia. Ni simu gani? Full model ya download mode nipe kama ni Samsung.
Nenda setting kisha about kutakuwa na model ya simu, mfano C5000Simu yangu ni SAMSUNG C5... inakuaga na problem kama alivyosema mdau fulani hapo juu... i.e mnara/signal inacheza, vijijini/mikoani au ata pale kisemvule network inakata kabisa huwezi kusurf mitandaoni wala google wala wsap... pia these days line zote mbili haiwezekaniki kutumika at same time ni line moja tu at a time. Mara igome kuingiza vocha au kusimbanking, kutopatikanika ikipigiwa call haiji... Line nazopenda ni vodacom na halotel.
"Full model ya download mode" hapa sikakupata labda unielekeze tena mkuu... and yes ni SAMSUNG C5 two line gb 64
Kama ni original, nielekeze duka ulilonunulia tafadhali.Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wachangiaji wote na mlionipa ushauri nmefanikiwa kuchukua samsung galaxy note 10+ 5g storage Gb 256
Did that!Nenda setting kisha about kutakuwa na model ya simu, mfano C5000
Nimecheki mkuu inamiss band 20 Ya tigo, band 3 na 7 ipo hivyo Voda na Halotel haikutakiwa isumbue. Pia ina Band zote za 3g na 2G haikutakiwa isumbue.Did that!
Model ni SM - C5000
With thanks mkuu,the chief himself😊!