Korea version ni balaa. Ni mara chache sana unazikuta za kubabaisha. Ila asilimia kubwa zimenyooka.Sumbufu sana KOREA VERSION
upande wa software ukitumia OFFICIAL
sms maneno machache
deriver report hakuna
kutuma sms inasumbua
mtandao kama tigo unasumbua data
ikiwa 3G kutuma sms haitaki
ninazikubari kwa uimara na kupokea update kuanzia Display ngumu sana GORILLA ndo udiseme na simu yenyewe mashine jiwe haswa