USHAURI wa kununua Samsung phone

USHAURI wa kununua Samsung phone

Hyo Refurb s wanasema zinazingua cuz nmeona amazon kuiagiza sio pesa mingi sana

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Achana na kuagiza amazon scammers ni wengi. Na ni bora ukachukua mahali unapoweza fika physically endapo simu ikaleta shida yoyote. Na kama upo interested you can check us through 0687968594(whatsapp and normal calls) nikupatie genuine samsung unayotaka au tukuagizie direct from south korea.
 
Korea zipo powa natumia note8 mwaka wa tatu sasa

Tatizo ni kuna app ambazo zipo kwenye global kwenye Korea vision hutazipata..
 
Voda Ni Genuine sababu ni 1st party yeye ndio ameanza.

Sasa chukulia hio hio situatioon ya Voda. Wewe umeuziwa na vodacom simu XXX kwa mkataba, baada ya mwezi simu imezingua, Voda wanakubadilishia wanakupa Nyengine, Simu yako uliorudisha inatengenezwa inauzwa kama refurb.

Ama Situation nyengine ni Trade in, mfano galaxy s22 imetoka voda wanakwambia Lete s21 na 500,000 tunakupa s22, unapeleka s21 yako voda unapewa s22. Ile s21 voda wanaiuza kama refurb ili warudishe hela yao.

Ndio maana Refurb karibia zote Duniani zinatoka mitandao ya simu, ikiwa Japan utasikia Docomo, Ikiwa Usa utasikia At&T, Sprint, T-Mobile na Kina Verizon, Ikiwa Korea Sk telecom, LG uplus etc.
Well noted Sir! You are the Legend
 
Haiwezi kuwa Korean version bila kuwa refurbished. Na refurbished siku zote ni kubeti. Kuna Mitandao korea ikija hapa hata ussd haina Unaanza kuhangaika na apps kuunga Bando.

Pia inaweza ikawa na matatizo kama Refurb nyengine, Battery, overheat, locked Bootloader etc
Used Korea zinatumika hapa Tz na hizo USSD zinafanyika bila shida.

Useme unatumia version ambayo haina hizo festures.
 
Mimi pia changamoto ipo kwenye Samsung yangu ..upande wa Tigo line haisome hata 3g ingawa simu ni 4g,hata SMS sometimes zinakuwa shida kutuma ila laini nyengine zinafanya kazi vizuri
Sijui shida ni nini,labda kama kuna mtu ana ujuzi atueleze kidogo,au ni namna jinsi laini za tigo zilivyotengenezwa?
 
Used Korea zinatumika hapa Tz na hizo USSD zinafanyika bila shida.

Useme unatumia version ambayo haina hizo festures.
Sijasema zote zina ussd problem, ila zipo zenye hayo matatizo.

Simu yoyote iliotengenezwa kwa mazingira ya cdma ni likely isikubali ussd.
 
Mm nilikuwa na samaung J7star Korea ina gb32 tu ram 2 lkn mzee shughuli yake sio ya kitoto pia nishawahi miliki Samsung za docomo za Korea ukipata ambayo haipati Moto wala haisumbui betri unadunda nayo kinyama mm ndio simu zangu izo za korea
 
Sijasema zote zina ussd problem, ila zipo zenye hayo matatizo.

Simu yoyote iliotengenezwa kwa mazingira ya cdma ni likely isikubali ussd.
Nimetumia simu used za South Korea tena hizo hizo Samsung.

Na watu wengi huwa nawa-recommend wanunue hizo na hazijawahi sumbua.

Sasa nashangaa mnasema zinasumbua.

Mtu akitaka simu used za Samsung, bora anunue za South Korea moja kwa moja.
 
Mimi ninayo haina ussd, na kuna mdau hapa juzi tu yake velvet haina ussd. Kuna mtu anatumia tu kama ya UBA.

Kama ninavyosema nyuzi zote, Refurb ni kubeti, hujui tatizo lake kabla ya kuwa refurb ni nini, zipo ambazo ni kama mpya na zipo nyengine zina matatizo pasua kichwa.

Sababu yako ipo fresh haimaanishi Zote zipo vizuri.
 
Kuna mwanangu katoka kununua majuzi tu note 10 Ila Jana imebidi airudishe tu maana network ni wenge

mara simu haipandishi mnara,mara simu haipatikani,mara simu haitaki kuweka vocha, akaona ya nini bora irudi kwao, karudisha akachukua simu ingine
Hapo ina maana 4g inashika ila 3G ndio inazingua. Sababu hatuna Volte japo mnara unasoma hupatikani, na sababu haina 3g vocha pia haiwekeki.
 
Kuna mwanangu katoka kununua majuzi tu note 10 Ila Jana imebidi airudishe tu maana network ni wenge

mara simu haipandishi mnara,mara simu haipatikani,mara simu haitaki kuweka vocha, akaona ya nini bora irudi kwao, karudisha akachukua simu ingine
Mbona mnanitisha mkuu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Tuelezane mazuri yote na matatizo yote ya Note 10 plus GB 256 before sjaagiza natarajia kuagiza jumanne kwa ambae amewahi imiliki

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom