Ushauri wa kibiashara ndugu zangu

Ushauri wa kibiashara ndugu zangu

Inaandikwa HAYO na siyo AYO. Unaona hasara ya kubisha unapoambiwa ukweli? Huwezi kujua makosa yako na kuyarekebisha!
a teacher from jamii forum [emoji122][emoji122][emoji1].

Asante sana alafu mm huwa napenda criticism maana ndo huwa zinamjenga mtu.
Matajiri na watu waliofanikiwa wote ukisoma vitabu vyao walikubali kukosolewa.ASANTE SANA
 
Asante sana ndugu yangu. Unajua vijana wengi wa kitanzania wangekuwa kama wewe tungefika mbali. Watanzania wengi ukiwakosoa hawataki na hujaribu kubishana, tena kwenye makosa ya wazi. Hii inafanya watu kuendelea kukosea na mwisho makosa kujenga mazoea na hatimae utamaduni. Hata mimi siyo mkamilifu na nafanya makosa mengi kabisa. Ila nakubali kukosolewa.
 
[emoji120]
''in this era nothing is important than being educated,'' by dr strive. elekeza nguvu zako zote kwenye elimu kwa sasa ili uepuke kuwa mediocre graduate.
ni hayo tu.
 
Dah mkuu ubarikiwe sana sana hili nimelichukua pia na linawezekana kabisa kwani lipo ndani ya uwezo wangu[emoji120][emoji120]
Hii thread itakosa wachangiaji ila ungeandika ya Gwajima ingejaa.Hakika Ccm itatawala milele.Usjauri wangu angalia nguo za kike.Mimi nimefanya Sana hiyo Biashara hasa boom linapotoka inalipa kwa kweli.Nilipomaliza nilimuachia dogo ambae nilikuwa nakaa nae.Mpaka dk hii kaniacha kimaisha me Niko kazini dogo alipousoma upepo wa JPM akaikomalia Biashara Sasa hivi si mchezo.Anachukua nguo Nairobi analeta TZ pia maeneo ya chuo kaweka Mashine ya kufulia nguo nako anapiga ela saana.Angalia Hapo Kwanza.
 
Mkuu kusoma sio kama sisomi but umri unaenda 5years npo nasoma ikumbukwe ajira zimekuwa changamoto sana ni kheri uchukue precaution kabla precaution haijakuchukua.Elimu haitoshi kunipa kitu nataka ndo maan nmejibana sana kumake money kwa kujituma hapa na pale ili kesho kutwa nkimaliza chuo nisiwe miongoni mwa vijana wanaoshinda pool table na kushinda kwenye betting site.
Wazungu wansema you "better fight today than waiting for tomorrow" hakuna haijuaje kesho ndo maana watu huwa wanaweka akiba.
Kwanini Kila Mtoa Mada Anapenda Kujiita Yeye Mwanafunzi Wa Chuo Fulan Hasa Kwenye Mada Hizi Mbili Za Biashara Na Mapenzi Sikiliza Bwana Mdogo Wewe Mwanafunzi Nenda Kwanza Kasome Tuache
 
Nakushauri ufanye biashara ya huduma
1.Toa huduma ya udobi chuoni ksma haipo, kama ipo chunguza udhaifu wa hao na wapiku.ukitka mbinu zaidi ya hili waxo ni pm
2.Uza maji, uza maji.Hili wazo nilitaka kulifanya baada ya kumtembelea ndugu yangu maeneo flani hapo dar, wananunua maji mpaka1000 kwa dumu, sijui kwa sasa kama maji yamefika au la.ilikuwa2015.
3.Uza mikorogo ya wanawake.Wanawake wa Kiafrika hawana akili, narudia tena hawana akili, chovhote utakachowapelekea na kuwaambia utapendeza au utakuwa kama mwarabu watanunua.Bidhaa yako ikikubalika na wanawake umetoka, maana hawana akili ila sio wote.kwa Ushauri zaidi wa mawazo mazuri ni pm.
 
Dah mm natamani kiuza mikoba ya wanawake ya mgongoni na cross body na vipochi vidogo vidogo sema sijapata tu chimbo la utu tuvitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom