![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani full burudani hawa watu.
Aisee ushakuwa kama mimi kuna maada zingine ukiingia unamukuta mbiti kachafua inabidi tu uchungulie usepe maana ni matus tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dinner na lemba!!!Hahah!, umeikumbuka..
Ntaitafuta nimpe espy.
Khaaa!, imagine mtu anaenda dinner na Bonge la Lemba mpaka anawaziba waiters wanashimdwa kuona upande wa pili wa room..
Sent using Jamii Forums mobile app
atakula mild anaesthesia so aw na imani na mm huhuhuOoooh!! Basi ngoja nimueleze.
Enheeee!
Darasa mubashara. Hebu wafundishe mie nipate fursa ya biashara ya visosi.
tutagawana faida si eti
Ni Kweli, lkn mdogo mtu anamuamini kaka/baba yake hata akiolewa kaka mtu atamsumbua na atamvuruga
Sent using Jamii Forums mobile app
wa nasubilia PM yake mheshimiwa....Anakusoma mkuu, maybe atajiongeza.
Hata kutuma pesa bila ya yakutolea inakeraaa!
Alafu demi sijamuona kitambo!! Sijui kapata kiben ten!!!
demi anauguliwa kias
Kuna wanaume wasenge wewe, na huyo mdada akilazimisha kuolewa huyo john anaweza kumuua hata mdogo wake Hlf kesi akampa Jack, ndo maana nimesema aanze kuzoea maumivu ya kuacha mapemaaaaaKaka akivuruga na watu wakajua Itabidi wamshangae kwa kweli. Swali liko pale, kama ana mke tayari kwa nini aingilie mapenzi ya wenzake?!, that's selfish.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahhahaha unajua wanawake hatunaga shukran (baadhi) mtu unapewa pesa unaanza kusema mbn hujatuma ya kutolea ? hahahaha inakeraaaaaaaaaaaaaaaa
Hahaha!, tukipewa ya kufanyia manicure tunataka na pedicure, tukipewa ya eyebrows tunataka na Brazilian wax!
Sent using Jamii Forums mobile app