Ushauri wa haraka unahitajika

Ushauri wa haraka unahitajika

aisee hongera! picha mie haiji jaman ! mie kuna mapenzi mengine nahisg yatanikata stimu !yaan nitaimagine ana kidonda sijui namkanda vile ! yaan dah nakarahika tu ! yaan yote hyo mnatafuta vibes tu !haya nitakuja jaribu lakini had utoe somo tukuelewe wanawake wenzako maana tusijedodaaaaaaaa teh teh !
Siku ukimuona yupo kwny mudi nzuuuuri basi ndo unamfanyia ivo, ndoa kujipendekeza swtiii wanaume wenyewe wa kugombania hawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee hongera! picha mie haiji jaman ! mie kuna mapenzi mengine nahisg yatanikata stimu !yaan nitaimagine ana kidonda sijui namkanda vile ! yaan dah nakarahika tu ! yaan yote hyo mnatafuta vibes tu !haya nitakuja jaribu lakini had utoe somo tukuelewe wanawake wenzako maana tusijedodaaaaaaaa teh teh !

Mbiti jamaniiii!, eti ana kidonda, HAHAH!
Ama kweli wewe Msukuma!

Heaven Sent njoo ona mamiyo kaamsha dude huku!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaume wasenge wewe, na huyo mdada akilazimisha kuolewa huyo john anaweza kumuua hata mdogo wake Hlf kesi akampa Jack, ndo maana nimesema aanze kuzoea maumivu ya kuacha mapemaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna member kasema kati ya vitu vinaletaga vita na mapenzi ni mojawapo. Isije ikamletea majuto baadae.
 
aisee hongera! picha mie haiji jaman ! mie kuna mapenzi mengine nahisg yatanikata stimu !yaan nitaimagine ana kidonda sijui namkanda vile ! yaan dah nakarahika tu ! yaan yote hyo mnatafuta vibes tu !haya nitakuja jaribu lakini had utoe somo tukuelewe wanawake wenzako maana tusijedodaaaaaaaa teh teh !

Haki nakugawa!! Eti kama ana nini!!!
 
Back
Top Bottom