kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,644
- 19,036
nenda wewe kapiga ubwabwa...ya nini sasa??,unajua ndugu zake watakuwa wanadhani nataka kuwaharibia,mindset za kijinga fulani,sina habari,napiga kazi,jioni napiga uber mpaka saa 6 asubuhi mzigoni kama kawaida....