Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

Wewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea
Wewe ndio mwanaume,maisha lazima yaendelee mimi hata dunia nzima inikatae bado napumua na afya ninayo inatosha. Maisha haya jitahidi uwe na imani ya dini kidogo ikufariji maana haina madhara/haikudhuru pombe,wanawake na vitu vingine haviwezi kukufariji Mzee bila madhara
 
Ndo ujue shida n ya pekeako

stidy
 
Kuna jamaa anaitwa kuku kwiyoyo matatizo yenu yanafanana sema version tofauti.
Pole sana mkuu!
 
hapo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!


Cc Smart911
Pole najua maumivu unayoyapitia

Kubali kwamba huyo ameenda , hata mimi siku chache kabla ya ndoa nkagundua alkua anancheat nliumia na nkavunja mahusiano

Cha msingi tafuta maisha hivi sasa hiyo ikupe uchungu wa kusaka maisha

Maumivu ya mapenzi yape muda huwa yanapita

Pole sana chief na mungu akusaidie

Umekula leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vijana mkiambiwa mtafute pesa huwa mnakuwa wabishi mnashinda gym kutafuta six pack pambana na hali kijana, usijifikirie wewe na upweke wako mfikirie pia yeye na mustakabali wa maisha yake Mwache mwenzio ajaribu maisha mengine.
 
Habari wakuu

Niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa mwàka mzima sasa na tulikuwa tunaishi kama mke na mume ila kiukweli mimi kipato changu kidogo sana na muda wote huo tumeishi kwa furaha na amani.

Japo sometimes ugomvi wa hapa na pale unatokea nina kosa pesa anavumilia tu yani tulikuwa tunapendana. Wiki 2 sasa zimepita toka arudi kwao ananiambia anaolewa na mahari ishatoka japo hamjui bwana vizuri na aliletewa posa tu nyumbni.

So kaamua kukubali eti kisa sina mwelekeo anataka kusaidia wazazi wake. Yaani nahisi kufa, nilikuwa nampenda sana.

Nifanyaje wakuu? Yaani nishaenda mpaka kwao ila msimamo wake haubadiliki sijajua nini kimemsibu au kalogwa?
Kujisikia kufakufa ndo kukoje!?
Kutokana na hii hadithi, hajakukimbia sababu huna hela, ila sababu bado mvulana au hujakua akili
 
Ndoa inapangwa mbinguni, kama ni rizki yako utamuoa wewe na kama si rizki yako hutaweza kumuoa wewe.

Shukuru Mungu kwa kila linalokutokea maishani mwako, usilazimishe vitu, kiroho safi tu kubali matokeo.

"ashindwae pia mume"
"kisicho riziki hakiliki"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bora umekuja huku, hamkawiagi kujiua nyie kabla hamjapata mawazo ya wengine, acha upuuzi dogo, huyo sio rizki yako, tafuta pesa, utamtafuna hata malkia Elizabeth
 
Hiki ni kipimo kuwa demu hakutaki, achana nae na pambana na hali yako!
 
MOYO WA MTU NI KIZA KINENE,,..

MOYO WA MWANADAMU KILA SIKU UNAINGIZA JAMBO JIPYA!

NDIO MAANA KUNA NYAKATI MAADUI WANAKUWA MARAFIKI NA MARAFIKI WANAKUWA MAADUI

UNAPOKUBALIANA AU KUSHIKAMANA NA MWANADAMU KWENYE JAMBO LOLOTE WEKA CHUMBA CHA DHARULA KWENYE NAFSI YAKO ILI KUPUNGUZA AU KUONDOSHA MAUMIVU PINDI YANAPOTOKEA YALE USIYOYATARAJIA!

A WORD IS ENEOUGH FOR THE WISE
 
Back
Top Bottom