Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

Mkuu si nime edit[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe bado iko vile vile dah balaaaa sasa
Umeshaedit lkn nimebahatika kulifuma ukiwa bado hujalipika kwa Mara ya pili..
Msititizo wangu uko palepale nakubali kiswahili ni kibantu ila kwa hilo neno nakataa😂😂🤣
 
Huyo haolewi wala hajalipiwa mahari au bado kuna jamii zinawataftia watoto wachumba wa kuwaoa bila ya hata wao wenyewe kuwajua? Me naona amepata mwngine kwahyo ametumia hyo kama sababu tu ili akubwage
Ànaolewa kwl nilienda kwao nmekuta maandalizi na wajomba zke wamenfukuza kama mbw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshaedit lkn nimebahatika kulifuma ukiwa bado hujalipika kwa Mara ya pili..
Msititizo wangu uko palepale nakubali kiswahili ni kibantu ila kwa hilo neno nakataa[emoji23][emoji23]🤣

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea
Si kwamba nalia ndio nàlia ila nataka kujua sbb ya yy kuamua ivo maana kabadilika within a two weeks hapo mwanz tulikuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole najua maumivu unayoyapitia

kubali kwamba huyo ameenda , hata mimi siku chache kabla ya ndoa nkagundua alkua anancheat nliumia na nkavunja mahusiano

cha msingi tafuta maisha hivi sasa hiyo ikupe uchungu wa kusaka maisha

maumivu ya mapenzi yape muda huwa yanapita

pole sana chief na mungu akusaidie

umekula leo ?
Nifanyaje nimsahau jaman maana siwez hta kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpo naye au yupo kwake?

Kuna nyakati huwa zikifika, daahh wanawake hawashauriki mpaka muda ndio umshauri

We naye Mzee baba, Mwaka mzima ,hujatia hata mimba? ungetia mimba ungekaa naye vizuri tu

Sema nini, Pambana pambana , Ukiwa sio strong na huonyeshi hata jitahada za kujikwamua atasepa tu.

Unalalamika ?... Unaonaje akaenda kuishi kwao Ila asiolewe awe anakungoja uwe na kipato??..NI sahihi?. au unataka aendelee kukaa kwako?.

Kama sio sahihi, sema kinachokuumiza unawaza!!.

Kibongo bongo na kwa jamii yetu, Mtoto wa kike ni Asset kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naurudia kusema wanawake hawajaumbiwa shida katika dunia hii, ,tusiwalalamikie kwa mamuzi yao sahihi ya kutuacha.

Pole sana wengine waliolewa wakiwa na mimba zetu, nikamwambia awe ukumbusho wa mahusiano yetu, sijui alitoa au vip maana 6 monthly ago
 
[emoji2215][emoji2215]
tapatalk_1535649651911.jpg


sijui itakuaje
 
Ungelitafuta wakati ukajifunza kuandika kiswahili sahihi kwanza kabla ya lolote lile.
 
Namtakia kila la kheri muolewaji ,👏👏
Kwako mkuu nakushauri tafuta
hela
waleti
mpunga
madini
Mkwanja
Ganji
Nnji
Mapene
Shuka la masai
Njuruku
Sabuni ya roho
Daniela
Halafu subiri uone utakavyo furahia toto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si kwamba nalia ndio nàlia ila nataka kujua sbb ya yy kuamua ivo maana kabadilika within a two weeks hapo mwanz tulikuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue sababu itakusaidia nn?,kama kakukatana na futi sita eheehe?,lengo la kukuandikia yangu uone lako ni dogo kiasi gani,huna sababu hata ya kulalamika,tafuta pesa,tafuta Demu mkali zaidi yake
 
Back
Top Bottom