Nikiwa kama msemaji wa mabaharia tz/ watu wabaya tumedhamiria kukupitisha uwe mwenyekit wetu kwakura zote zandioWewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea
Huyo sio mpenzi wako huyo ni mpenzi wa huyo anayemuoa jiangalie .....Habari wakuu
Niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa mwàka mzima sasa na tulikuwa tunaishi kama mke na mume ila kiukweli mimi kipato changu kidogo sana na muda wote huo tumeishi kwa furaha na amani.
Japo sometimes ugomvi wa hapa na pale unatokea nina kosa pesa anavumilia tu yani tulikuwa tunapendana. Wiki 2 sasa zimepita toka arudi kwao ananiambia anaolewa na mahari ishatoka japo hamjui bwana vizuri na aliletewa posa tu nyumbni.
So kaamua kukubali eti kisa sina mwelekeo anataka kusaidia wazazi wake. Yaani nahisi kufa, nilikuwa nampenda sana.
Nifanyaje wakuu? Yaani nishaenda mpaka kwao ila msimamo wake haubadiliki sijajua nini kimemsibu au kalogwa?
Ila mbn hta ndg zake rafk zake wanashangaa ni gafla yanNiliwahi pitia situation kama yako mkuu
Nafahamu moyo wako ulivyochoka na huzuni
Unakama wiki tatu mbele za msoto mkubwa,usiku hautopata usingizi,na si ajabu ukapungua mwili
Ila! Nikuhakikishie kua huyo hakupendi
Sababu angekupenda angekuhakikishia kila kitu,angekushika usipotee...angekuonesha njia...wapi upite akikufuata NYUMA
Ila ulidhan anakupenda angekupenda katu asingekubari hata kuwasikiliza wazazi wake( kama alilazimishwa kuolewa)
Mkuu Kama wachangiaji wengine tu kisicho liziki huli!
Mimi mwenzio shingo ilinyookaa twiga ikasome lakin yeye Wala Hana time
Nakushauli kwa Sasa jipe hata kisafari badili mazingira,kutana na wadau wapya fanya kazi
Mkuu tunawazika wapendwa wetu Ila tunasahau nalo litapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan ukinambia anipend hapo nashangaa hiv juz juz katoka kunfanyia kitu cha ajab kaniongezea mtaj wa biashara pia alikuwa anaonesha mapenz yotee mi nahis hta ushirikinaMkuu hakupendi huyo tokea siku nyingi tafuta mnyonge mwenzio mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
The point is you and her
Kwaiyo nifanyaje sa ivThe point is you and her
Hata Kama wazazi wangejua lakini yeye akakataa utamlazimisha? Wazazi wake wakimlazimisha ikiwa hajapenda utaishi nae vipi
Mkuu mengine yanaepushwa na wewe
Kwaimani_ ikiwa upendo umeanzishwa na mungu asingeruhusu uumie
Huenda sio yako ukilazimisha itakukost
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila unachotaka utakipata
WANAWAKE HATUWEZI KUMUDU KUTAZAMWA SISI KAMA MASULUHISHO.Yan ukinambia anipend hapo nashangaa hiv juz juz katoka kunfanyia kitu cha ajab kaniongezea mtaj wa biashara pia alikuwa anaonesha mapenz yotee mi nahis hta ushirikina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie hivi ''hata ukiolewa usiniache'' uone atasemaje! akikupa jibu njoo humu JF nikwambie kitu cha kufanyaHabari wakuu
Niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa mwàka mzima sasa na tulikuwa tunaishi kama mke na mume ila kiukweli mimi kipato changu kidogo sana na muda wote huo tumeishi kwa furaha na amani.
Japo sometimes ugomvi wa hapa na pale unatokea nina kosa pesa anavumilia tu yani tulikuwa tunapendana. Wiki 2 sasa zimepita toka arudi kwao ananiambia anaolewa na mahari ishatoka japo hamjui bwana vizuri na aliletewa posa tu nyumbni.
So kaamua kukubali eti kisa sina mwelekeo anataka kusaidia wazazi wake. Yaani nahisi kufa, nilikuwa nampenda sana.
Nifanyaje wakuu? Yaani nishaenda mpaka kwao ila msimamo wake haubadiliki sijajua nini kimemsibu au kalogwa?
Nmetoka kuongea nae mda si mrefu maana alinitext msg hewa anasema yan ananipenda ila hajielew kwann kabadilika gafla anahis kuna mamb ya kishirikina nmeongea nae vizur pia ananipenda kasema yan kw jinsi nlivoish nae hawez kubadilika gafla ivoMwambie hivi ''hata ukiolewa usiniache'' uone atasemaje! akikupa jibu njoo humu JF nikwambie kitu cha kufanya
Hana jipya huyo wezie tunalia na corona yeye analia nakademWewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea
Wee dogo, wewe si ndo ulieliwa tigo kimasihara na mhindi?Tulia Wewe Siyo Ndiyo Tunaojua
Wapi Tutumie Nini
Miaka 11 Kuna Dada Alikuwa Na Jamaa
Kila Akijaribu Kuolewa Jambo Halifiki Mwisho
Mwache Aolewe
Haa 😀Wee dogo, wewe si ndo ulieliwa tigo kimasihara na mhindi?
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Hapa sasa wewe kuwa mpole, halafu usimnunie, mkubalie akutembelee ila uwe makini na ukimwi, usifanye haraka kujikumbushia enzi! wala usijikumbushie, kuwa kawaida, japo unaumia, Kuwa smart zaidi ya ulivo kuwa awali, kimavazi kipesa na kichwani yaani shule!Nmetoka kuongea nae mda si mrefu maana alinitext msg hewa anasema yan ananipenda ila hajielew kwann kabadilika gafla anahis kuna mamb ya kishirikina nmeongea nae vizur pia ananipenda kasema yan kw jinsi nlivoish nae hawez kubadilika gafla ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole baharia, hayo yatapita kikubwa pumzi, zisake pesa ili siku moja akose utofauti kati ya alipokimbia na alipokimbilia.Ànaolewa kwl nilienda kwao nmekuta maandalizi na wajomba zke wamenfukuza kama mbw
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole, kuutafuta ukweli ni mbaya zaidiSi kwamba nalia ndio nàlia ila nataka kujua sbb ya yy kuamua ivo maana kabadilika within a two weeks hapo mwanz tulikuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmetoka kuongea nae mda si mrefu maana alinitext msg hewa anasema yan ananipenda ila hajielew kwann kabadilika gafla anahis kuna mamb ya kishirikina nmeongea nae vizur pia ananipenda kasema yan kw jinsi nlivoish nae hawez kubadilika gafla ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sasa wewe kuwa mpole, halafu usimnunie, mkubalie akutembelee ila uwe makini na ukimwi, usifanye haraka kujikumbushia enzi! wala usijikumbushie, kuwa kawaida, japo unaumia, Kuwa smart zaidi ya ulivo kuwa awali, kimavazi kipesa na kichwani yaani shule!
Lengo la kufanya hivi ni ili yeye akutibu upone Majeraha uliyoumizwa kimapenzi! na kujitayarisha kisaikolojia akutoke Moyoni polepole! usifanye haraka kuoa ke'' mwingine km kulipiza hivi, unaweza ingia chaka zaidi ukatia huruma!. Polepole jipe Moyo kuwa kuna kitu cha hatari ambacho roho yako inakuepusha nacho kwa huyo mwanamke! SALAMA MOYONI ITAKUJA JARIBU