Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

MOYO WA MTU NI KIZA KINENE,,..

MOYO WA MWANADAMU KILA SIKU UNAINGIZA JAMBO JIPYA!

NDIO MAANA KUNA NYAKATI MAADUI WANAKUWA MARAFIKI NA MARAFIKI WANAKUWA MAADUI

UNAPOKUBALIANA AU KUSHIKAMANA NA MWANADAMU KWENYE JAMBO LOLOTE WEKA CHUMBA CHA DHARULA KWENYE NAFSI YAKO ILI KUPUNGUZA AU KUONDOSHA MAUMIVU PINDI YANAPOTOKEA YALE USIYOYATARAJIA!

A WORD IS ENEOUGH FOR THE WISE
Asante kwa ushauri ila nifanyaje sa iv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo pole sana lakini hivyo ni vitu vidogo sana wee umekaa na mwanamke mwaka mmoja tuu unaumia namna hiii ,

Kuna wenzako wamesomesha hadi chuo kikuu, wamewajengea nyumba wanawake zao lakini mwisho wa siku wakatoshwa wee umegharamia vocha tuu unalia lia namna hiii brooo kaza mwendooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unakosea sana kusema hivyo..unakuta mtu anapambana sana lakini riziki inaweza kuwa imechelewa..hakuna binadamu anaependa umaskini..hakuna mwanaume anaependa kumuona mwanamke wake anateseka kama anampenda kweli..

Hii ndio sababu wanaume life span yetu inakua fupi tuna mapito mengi sana ....jamaa yawezekana alikua akipambana akitegemea ana faraja kaiacha nyumbani ila faraja nayo imeamua kuondoka
Vijana mkiambiwa mtafute pesa huwa mnakuwa wabishi mnashinda gym kutafuta six pack pambana na hali kijana, usijifikirie wewe na upweke wako mfikirie pia yeye na mustakabali wa maisha yake Mwache mwenzio ajaribu maisha mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lia, samehe, jifunze then endelea na maisha..

Huyu mkuu anapitia wakati mgumu sana..haya mambo ya kihisia huwezi kujua uchungu wake mpaka likukute ndo utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu ni tulia nyumbani vaa barakoa,tumia maji yanayotiririka nawa na sanitizer,epuka misongamano isiyolazima..
Ukiona haitoshi uwe unapiga nyungu mara tatu kwa siku itakusaidia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] duh woiii wewe hapana kwa kweli
 
Si kwamba nalia ndio nàlia ila nataka kujua sbb ya yy kuamua ivo maana kabadilika within a two weeks hapo mwanz tulikuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka sababu ya yeye kufanya hvyo wakati ameshakuambia tayar!!
Mwanamke akiamua Ku move on wala usihangaike kulazimisha arudi kwako. Hapo ameshakutoa moyoni mpaka akilini mpaka nafsini mwake..
Ila kama huna kazi za kufanya endelea kumtafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mm mwanamke ndo nlishamwandaa nimtambulishe kwetu wiki hii inayokuja juz kaniambia ati ana kibendi sjui cha jamaa gani sjui nmwambie atoe dah japo nampenda naona tuu aende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom