Ushauri wa bure kwa waliochaguliwa chuo chochote moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa waliochaguliwa chuo chochote moshi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Parata, Sep 7, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kama mwanajamvi napenda kutoa ushauri kwa waliochaguliwa chuo chochote cha moshi yaaani wale wa MUCCOBS YAANI ushirika,MWENGE,SMMUCCO kuwa wawe makini sana wanapoingia chuoni hasa katika suala la kununua msosi.wafanyabiashara wa kichga ni wajanja sana wanapandishaga bei ya chakula wanauza buku jero buku mbili kwaiyo angalia na bei ya chakula... pia suala la kupelekwa chuo kama haujui unaweza kuzungushwa mji mzima na kudaiwa hela nyingi mno kwaiyo umakini unatakiwa...
   
 2. Jemsi

  Jemsi Senior Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Shukran kwa taarifa mkuu kwani bei ya msosi ni kiac gani kwa kawaida?
   
 3. A

  Apex JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wachaga nimekua nao,nimesoma nao na nakaa nao,ujanja wao kwangu kwishn so sinashaka na hilo.
   
 4. d

  dandabo JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mmmh! Hii jf sasa imepata wenyewe! Tahadhari kama hizi wenzio tulikua tukipewa tulipoenda form one boarding enzi hizoo! Kumbe leo vyuoni nao mnapewa?
   
 5. K

  KALLAGO Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na vp kuhus naul kutoka stand ya bus mpaka Mwenge
   
 6. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kwa hivyo unataka kusema wachaga wezi/matapeli??
   
Loading...