Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Mkuu, this stuff is quite good, accurate and well reasoned.


Muslims have to come out with unqualified and doubtless justifications as to why it is unavoidable to establish Kadhi Courts under our Constititution.
 
Ninaposema Waislam ni wote siseme kundi fulani au wewe ulitaka niseme Waislam wa namna gani? Hebu nifundishe basi?
 

Nyinyi mnajifanya mnamjua Mwenyezi Mungu kulikowatu woote. Na mko wema daima. Mnauwezo wa kumwita mtu kafir na kumchinja kwasababu dini yake sio kiislam. Sasa kama nyinyie mko sawa na mnamjua Mungu kwanini mnaitaka hio KAdhi?

Maana kufanya kwenu mauaji na kuhalalisha mshanfanya mnamjua Mwenyezi Mungu (creator) na hamna lolote baya. Sasa mahakama kadhi ya nini??

Kikwete akiruhusu hili namshauri asikimbie nchi.








The King.
 
Naomba nijifunze kutoka kwako mkuu.
Tunafahamu kwamba hakuna maelewano mazuri kati baina Tanaka mbili zaislam hapa tz yaani Suni na Shia, sasa Je tutahitaji mahakama ya kadhi ya washia na mahakama ya kadhi ya wasuni?
Vipi tutahitaji magereza za waislam?
Samahani naomba nisikukwaze lengo nikujifunza mkuu.
 
Dhehebu kubwa hapo Tanzania la Waislam ni lipi? Ninakuuliza wewe? ukisha nijibu hapo ndio hao wanaotaka Mahakama ya Kadhi.
 
Critical Reasoning. MP's OF CA ARE GOING ASTRAY WITHOUT CONSIDERING MAJORITY INTEREST.
 
Saalaam ndugu zangu. Kwakuanza we mgaratia unaonekana mvunjifu wa amani vpi ushtuke kuchangia mahakama ya kadhi wakati waisilam wamechangia ruzuku ya makanisa kwa zaidi ya miaka 30 . Je inakuwaje mahakama ya usuluhisho nyingine na ya kugawa nyingine? Na kwa faida yako anaetoa taraka si mahakama mume ndo anatoa taraka
 
Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?
Kama haiwahusu Wakristu, kwa nini mnataka uendeshaji wake ugharamiwe na serikali ambayo ina kila aina ya wananchi wenye kuamini dini na wasio amini?
 
Watu badala ya kuzungumza mambo muhimu ya nchi kama Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Kuundwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Uchumi wa nchi yetu, Umasikini, Maradhi Sugu , njaa, Ukosefu wa Ajira na Mafisadi wa nchi yetu.Badala ya haya kuzungumza ni muhimu kwa Taifa letu lilio masikini nyinyi munaacha shughuli zenu na kuwazungumzia Eti kwanini Waislam wanataka Mahakama ya Kadhi? Wa-Tanzania sisi ni watu wajinga sana kielimu tutakuwa kila siku tuko nyuma kimaisha hatutaendelea kabisa. Tuamkeni tuache yasiyotuhus tushughulike na mambo yanayoleta maendeleo ya nchi yetu jamani Wabongo amkeni tuko nyuma tena tuko shimoni hatutaweza kutoka ndani ya shimo pasipo na kufanya juhudi zetu sisi wenyewe. Miafrika Bwana ndivyo ilivyo.@screentouch
 
Kama haiwahusu Wakristu, kwa nini mnataka uendeshaji wake ugharamiwe na serikali ambayo ina kila aina ya wananchi wenye kuamini dini na wasio amini?
Wewe ndugu Idimi Msikilize Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anavyosema .

 
Last edited by a moderator:
Napenda kujua jambo moja, "wosia" wa marehemu unatambulika vipi katika suala hili la mirathi? Je mtu hana kauli juu ya kugawa mali zake kwa mtu yeyote amtakaye? Wakati wa kufanya zinaa hamuoni kama wakosaji ni wazazi na si mtoto anayezalwa? Kosa la motto ni lipi hata asipate sehemu katika mali za wazazi waliomleta duniani? Haki ya Mungu iko wapi hapa?
 

...kweli wewe kunguni wa ulaya
 
Kama haiwahusu Wakristu, kwa nini mnataka uendeshaji wake ugharamiwe na serikali ambayo ina kila aina ya wananchi wenye kuamini dini na wasio amini?

Muulize huyo Idimi kaleta Topic ya Ukristo ndani ya Thread ya Mahakam ya kadhi imehusu nini hapo? Kwani suala la Mahakam ya Kadhi Wakristo linawahus kitu gani? Kwani Serikali ya Tanzania inafuata Dini gani?
 

Muislam ana hak ya kuandika wosia na ikithibitisha kama kwel ni wosia utaheshimika hata kama katika wosia huo ataingizwa mtu nje ya familia ila kama marehem alikufa kabla hajaacha wosia hapo itabid wafungue mirath. Kuhusu mtoto huyu mtoto ni wa dhinaa na uislam umekataza dhinaa kukumkubali huyu mtoto ni sawa na kuikubal dhinaa na kwa adhabu hii watu wasingezaa nje ya ndoa kwa kuogopa kuwatesa watoto wao .so tungedhibit swala la watoto wa nje ya ndoa .hii maanake mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
 

Ukishaweka TRA tayari inahusisha serikali,kwa kifupi tafuteni pesa au undeni taasisi ya kukusanya ata hizo pesa
 

taja sababu ya kutokwenda kuomba uraia huko kwenye gurantee kuishi kiislamu in all aspects...na ung`ang`anie hapa kwenye vikwazi vya kila namna...
 
Very insightful assertions Ishmael
Thanks for your contribution
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Ishamael naona unatokea sana na povu. Suala la Rasimu sasa limehamia mambo ya Mahakama ya Kadhi na mambo ya Serikali3 kusahaulika. Naona hoja imehama ghafla. Nami nichangie kidogo tu :

Kwenye andiko lako hoja 1 na 2 tunasema HAIKUHUSU kabisa, povu la nini? Huruma hii umeitoa wapi? So its non of your business!

Namba 3 ni kuwa Mahakama itashughulikia mambo ya ndoa na mirathi. Yamefafanuliwa vizuri ndani ya Quran. Mtu kama hataridhishwa anaruhusiwa kukata rufaa.

Namba4! Unaogopa kivuli wakati kitu siyo halisi. Nchini Uganda Mahakama hii ipo na hamna shida yoyote hakuna cha Sunni wala Shia amelalama ila wewe Ishmael unalalama wakati haikuhusu kabisa huruma hii ya ghafla inatoka wapi? Wakati wa mfumo wa vyama vingi tuliogopeshwa kuwa utaleta vita lakini huu ni mwaka wa 22 hamna vita wala nini. Hata hii ya Serikali3 zitavunja Muungano na au gharama linafanana na hili kwamba mtu unatokwa na povu kwa hisia tu na maslahi binafsi

Namba 5 ni hisia tu. Si kweli. Haki za akina mama ziko waz kabisa. Atakaeona hajatendewa haki anaruhusiwa kukata rufaa na au kwenda Mahakama za kawaida

Concern zako:

.Msingi halali na mahsusi upo
.Yule atakae ona Waislam wanafaidi aanzishe ya kwake na atueleze yeye atashughulikia mambo gani na atutajie mifano ya nchi zilizowahi kufanya hicho anachokianzisha
.Kipengele c kwa nini?
.Hamna kitu kama hicho. Mambo ya ndoa yako sawa sawa.
.Huo mkanganyiko unaousema ni upi au ni hisia zilezile?
.Namba f huo ni uongo wa kutunga tu
.Ina maana wewe umetumwa na hao wanawake wa Kiislam? Yule ambae hataridhika ataruhusiwa kukata rufaa

Recommendations zako:

Kwa muktadha wa andishi lote inaonekana ni hisia tu na wakati mwingine chuki tu. Hii ni historia iliyopo duniani kwamba jambo dogo tu wakianzisha Waislam kwa kuwa upande wa pili halipo basi maneno maneno hujitikeza kwa chuki tu.

Hivyo namalizia kusema kuwa kwa kuwa msingi wa hoja za andiko lako na hizo concern zako zimejaa hisia ambazo katu hazireflect uhalisia, nahitimisha kwa kusema kuwa Hoja zako zote ni VOID, na hivyo ni BASELESS, zinatupiliwa mbali!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…