Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Ninazo hoja kidogo ambazo nadhani zinaonshesha mahakama ya kadhi itakuwa na maslahi kwa watanzania wote 1. Sheria nyingi za serikali zilirithiwa kutoka ukoloni amba zo pia zilikuwa influenced zaidi na ukristo kwa hiyo haziwafai waislamu. 2. Pia kitu cha kufahamu ni kuwa mambo yakiamuliwa kijamii hayana uzito kisheria kwa hiyo ni muhimu mahakama ya kadhi kupewa. 3. Kila mtanzania ana haki ya kupata haki mahakamani kwa mujibu wa sharia , kwa hiyo mahakama ya kadhi inastahiki kusimamiwa na kugharamiwa na serikali sababu ni wajibu wa serikali kuhakikisha haki inatendeka 4. Mahakama ya kadhi sina sifa ya kusikiliza kesi na kutoa hukumu kwa mda mchache kuliko mahakama za serikali kwa hiyo hii itapunguza gharama serikalini na pia kupunguza idadi za kesi zinazongoja kusikilizwa.. 5. Mahakama ya kadhi haitatumika pale mtu wa dini nyingine anapo husika kama mdai au mshutumiwa au wote watake na wakubali uamuzi. 6. Hizi mahakama zipo nchi nyingi na zina fanya bila tatizo 7. Makosa ya jinai yatakuwa ni jukumu la mahakama za serikali
 
Ninazo hoja kidogo ambazo nadhani zinaonshesha mahakama ya kadhi itakuwa na maslahi kwa watanzania wote 1. Sheria nyingi za serikali zilirithiwa kutoka ukoloni amba zo pia zilikuwa influenced zaidi na ukristo kwa hiyo haziwafai waislamu. 2. Pia kitu cha kufahamu ni kuwa mambo yakiamuliwa kijamii hayana uzito kisheria kwa hiyo ni muhimu mahakama ya kadhi kupewa au kutambuliwa kisheria . 3. Kila mtanzania ana haki ya kupata haki mahakamani kwa mujibu wa sharia , kwa hiyo mahakama ya kadhi inastahiki kusimamiwa na kugharamiwa na serikali sababu ni wajibu wa serikali kuhakikisha haki inatendeka 4. Mahakama ya kadhi sina sifa ya kusikiliza kesi na kutoa hukumu kwa mda mchache kuliko mahakama za serikali kwa hiyo hii itapunguza gharama serikalini na pia kupunguza idadi za kesi zinazongoja kusikilizwa.. 5. Mahakama ya kadhi haitatumika pale mtu wa dini nyingine anapo husika kama mdai au mshutumiwa au wote watake na wakubali uamuzi. 6. Hizi mahakama zipo nchi nyingi na zina fanya bila tatizo 7. Makosa ya jinai yatakuwa ni jukumu la mahakama za serikali
 
Kwani ungenyamaza koo lako lingetoboka?....hayakuhusu haya ya mahakama ya kadhi yann yakushughulushe?
 
kumbe tanzania na serikali ni wana dini tena ya kislaamu bora umetufumbua macho tulikuwa hatujui kuwa serikali kumbe ina dini ya kiislamu,

itabidi damu imwagike sasa kumbe mnatuzingua hivyo; tutachinjana na kulana mpaka kielekeweke
 
kumbe tanzania na serikali ni wana dini tena ya kislaamu bora umetufumbua macho tulikuwa hatujui kuwa serikali kumbe ina dini ya kiislamu,

itabidi damu imwagike sasa kumbe mnatuzingua hivyo; tutachinjana na kulana mpaka kielekeweke

Mnaweza kuchinjanaa au mtawaita .....
 
Waislamu kama hao si ndio hao waliojaaa bungeni wanaburuzwa na Wakirsto. Hawajielewi, hawajitambui. Wengine Mishungi mikubwaa Wanaudhoofisha tu Uislamu.

Wakristo kuwaburuza waislam ni jadi yao wala huna haja ya kuuliza,hata tukiamua tunaweza kuwapa mahakama ya kadhi na bado tukawaburuza makadhi. Kuhusu kuwaburuza waislam wala usilalamike,ni kawaida ya wakristo.
 

Usimshangae,alichokisema ni kweli,uislam hauruhusu reasoning,muislam akiwa moderate na muelewa wanasema sio muislam halisi,ukiuliza muislam halisi anatakiwa aweje huambiwi. Ina maana muislam halisi ni asiekua muelewa,asiependa majadiliano,mgomvi,mtu wa vurugu nk. Mtu akiwa muislam hana hizo tabia wanamuita muislam fake.

Mahakama ya kadhi ni ndoto za mchana kweupee,haitakaa itokee kamwe Tanzania.
 

Dah. Kiwango chako ch kufikiri ni kidogo sana.
 
Wakristo kuwaburuza waislam ni jadi yao wala huna haja ya kuuliza,hata tukiamua tunaweza kuwapa mahakama ya kadhi na bado tukawaburuza makadhi. Kuhusu kuwaburuza waislam wala usilalamike,ni kawaida ya wakristo.

Hoja yako inaukweli kiasi flani. Tatizo ni pale aneburuzwa anapokua ameshituka kua Anaimbiwa nyimbo ya Amani ili kumzuga tu aendelee kunyonywa. Sasa nini kitafuatia hapo ndipo patamu sasa!
 
Div 5 utaijuwa,utaingiliaje jambo lisilokuhusu.

Div 5? ha ha ha! nina uhakika huna hata nusu ya academic performance yangu. Hili linanihusu kwasababu zaidi ya nusu ya ndugu zangu ni waislam na hiyo ina maanisha kuwa iwapo kama mahakama ya kadhi itakubalika, ndugu hao wako katika janga kubwa sana.
 
kumbe tanzania na serikali ni wana dini tena ya kislaamu bora umetufumbua macho tulikuwa hatujui kuwa serikali kumbe ina dini ya kiislamu,

itabidi damu imwagike sasa kumbe mnatuzingua hivyo; tutachinjana na kulana mpaka kielekeweke
Kwani wewe huna habari? Amka basi Serikali dini yake ni CCM Chama Cha Mapinduzi . Na Tanzania Kuna Dini mbili kubwa Dini ya Kiislam na Dini ya Kikristo amka bibie upo usingizini wewe ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:

Tatizo ni uwezo mdogo wa kufikiria. Yaani tuishi nchi nchi moja lakini dini moja itambulike kwenye mahakama wakati na sisi wamasai tuna dini zetu zisitambulike. Mahakama ya kadhi ni sawa na ubaguzi wa afrika ya kusini ulioweka sheria tofauti kwa wazungu na sheria kwa waafrika.
 
kumbe tanzania na serikali ni wana dini tena ya kislaamu bora umetufumbua macho tulikuwa hatujui kuwa serikali kumbe ina dini ya kiislamu,

itabidi damu imwagike sasa kumbe mnatuzingua hivyo; tutachinjana na kulana mpaka kielekeweke

[h=1]NAFASI YA WAISLAM NA KATIBA MPYA TANZANIA - USTADH ILUNGA[/h]



 
Last edited by a moderator:
NAFASI YA WAISLAM NA KATIBA MPYA TANZANIA - USTADH ILUNGA






MziziMkavu bado unazidi kuonyesha uwezo mdogo wa kufikiria na ujuzi wako mdogo kwa kuwa mtu wakumsilikiza Ilunga. ushauri fuatilia Tume ya kubadilisha sheria ya profesa Ibrahim Juma (Bingwa wa sharia law) ambayo pia ilisema serekali haiwezi kuanzisha mahakama ya kadhi. Huwezi kuwa na sheria tofauti kwa makudi tofauti ukawa na nchi moja. Ndio maana na sema na sisi wamasai tutadai na dini zetu zisitambulike ili tukiiba ng'ombe iwe halali kwasababu ndio Dini yetu inasema Ngomezetu dunia ni zetu wamasai na watu wengine wenye Ng'ombe wanatutunzia tu. Wakristo nao hawatambui talaka na kama mume na mke wakiachana haitambuliki kisheria wakati waislam mna talaka sijui tatu. Mahakama ya kadhi ni sawa na ubaguzi wa afrika ya kusini ulioweka sheria tofauti kwa wazungu na sheria kwa waafrika.


Hata raisi wennu zaifu alisema hapa (https://www.youtube.com/watch?v=Pk_ZyYwdIpE) ila tatizo CCM wanataka kubaki madarakani na wako tayari kufanya lolote iliwabaki madarakani ndio wanaleta siasa za makama ya kadhi. Hata Kenya mahakama ya kadhi iliingizwa kisiasa tu ila kama kweli unaangalia uwasa wa wananchi wote katika sheria huwezi kukubali mahakama ya kadhi. Waisilamu wenyewe bado hata amukubaliani jinsi ya kuziendesha maana wengine wanasema wanawake hwaruhusiwi kuwa kadhi wakati wangine wanakata kwa kisingizio cha Kadhi mwanamke hawezi kufungisha ndoa akiwa mwezini (https://www.youtube.com/watch?v=Ux_gaR4NxKY). Sasa kweli serekali inatakiwa kuingia kwenye mjadala wa ndoa sio halali kwasababu kadhi aliyefungisha ndoa alikuwa mwezini.
 
Last edited by a moderator:
Laah,kuna mmoja wa walokole hapa nimemsoma katoa vitisho sana dhidi ya waislam,hayo kaeni nayo nyinyi wenyewe sisi hatuhusiki na matatizo yenu,nimegundua kuwa wengi mnaoipinga hii mahakama ya kadhi dini na vijitabu vyenu havina sheria zozote zile za governance,ila ni riwaya pekee ka za Abunu Wasi utopia na hivyo basi kutokana na kutokuwa na sheria za kiutawala ndani ya dini zenu,hasira zenu zote mnaelekezea kwa wenye dini na imani ya kweli iliyowekwa kwa sababu ya kuutawala ulimwengu.Kuna kitu kinaitwa husda hiyo ndiyo inawasumbua sana na hata hawa miungu wenu wazungu nao tatizo lao ni hilo hilo tuu,hakuna zaidi,nyie mmezoea kudhulumu vitu vya watu na mkipigiwa kelele basi shutuma zinaanza dhidi ya dini ya haki.
Mbali na kutolewa vitisho na mmoja wa walokole humu ndani kuna mwengine ametuwekea link inayomuonyesha ustadh Ilunga(marehemu)anazungumzia kuhusu katiba,nimeona kwamba m/mungu anaipenda sana Tz mpaka aliamua kumchukuwa yule ustadh toka hapa duniani,imekuwa ni bora na salama otherwise mtu kama yule pamoja na siasa zake kali angewezesha vikundi ka vya isis kuchukuwa advantage hiyo na kuja ingiza siasa zao kwetu m/mungu ashukuriwe sana kwa hilo.Haya matusi tunayotukwana ktk vyombo vya habari na mitandaoni ni tosha kabisa kwa mkorofi yeyote kutokea na kuwafunulia jamii yote ya kiislam nchini na kutaweza kutokea civil unrest moja mbaya sana,matusi yenu yamekithiri na ninaamini hivi punde watu watashindwa kuyavumilia kabisa na hapo ndipo harakati za waislam zitakazoanza.Laah mnatutukana sana utafikiria nyie damu yenu na mioyo na akili zenu ni dhahabu,utabiri wangu kutakuja tokea jambo baya sana nchini kwa mwendo wenu huo.Matusi ubaguzi,dhulma,unyanyasaji vimekithiri siku hizi mimi ninashangaa sana,zamani ktk mitandao ka hii tulikuwa hatutukanani kiasi mnavyofanya nyinyi siku hizi.Majirani zetu wamo humu wanatuangalia na kushangaa sana pia wanatucheka kwa jinsi tunavyotukanana matusi ya ajabu ajabu.NYIE KAENI NA DINI YENU NASISI MTUACHIE TUKAE NA DINI YETU PAMOJA NA MAHAKAMA YETU YA KADHI.M/Mpamba.End.
 
Last edited by a moderator:
Div 5? ha ha ha! nina uhakika huna hata nusu ya academic performance yangu. Hili linanihusu kwasababu zaidi ya nusu ya ndugu zangu ni waislam na hiyo ina maanisha kuwa iwapo kama mahakama ya kadhi itakubalika, ndugu hao wako katika janga kubwa sana.

Km wewe una ndugu Muislamu Hebu tueleze hapa km hio mahkama ya Kadhi itapishwa watakuwa vipi ktk JANGA kubwa?
Hilo janga hasa litatoka wapi?
We unaelewa kazi ya mahkama ya Qadhi? Au basi tu umeamua kuandika kilichopo mbele ya akili yako?
Hebu tufadadavulie kidogo hapa.
 

Na siku hio mahkama ikitokea utapinga kuwa nikuletee posa?
Manake wewe kaka papuchi huwa unaandika vitu km mganga wa kienyeji!
We umekuwa nani mpaka uandike future ya nchi hii!
Kubali kuolewa na mimi km hio mahkama itapita la sivyo ukae kimya.
Na km haitopita nakuruhusu umuoe Remote km zawadi yako.
Au we unasemaje?
 
Last edited by a moderator:

Wewe changu hebu tutajie hayo matatizo ya hao wanawake wa Kenya Wanayopata kutokana na Hio Mahkama ya Kadhi Ili na sisi tupate kujifunza hapa.
Manake wanawake waropokaji km nyie maisha yenu yote mnakuwa hamna waume. Na ikitokea jamaa kaingia mkenge kukuoa basi ndoa yako wiki haimalizi unapigwa chini.

Weka huo Ushahidi hapa wa hizo Shida za hao kina mama wa Kenya na km huna Nenda kaoge Janaba unatuchafulia mazingira hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…