Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!

Kiama Chao Hata Wafanye Nn Hawezi Zua Mafuriko Ya Kura Wataiba Watashindwa. Watafitini Hataweza MACCD. NA WATAKUFA KAMA KANU kwani walizoa vya bure kupitia halmashauri za wila iwe kampeni au ziara za kawaida au kampeni.
 
Mimi alichonishangaza JK ni kumteua Magufuli

both Magufuli na Lowasa wana vinyongo nae
yeyote atakaeshinda still anaweza lipa 'visasi' kwake

so nimemshangaa JK......halioni hilo?

Tunaweka kumbukumbu sawa.

JK hakumteua Magu

Alilazimishwa kumtosa Mdogo wake BKM for the sake ya Ku Neutralise Hasira na jinamizi la Eddo kuwekewa Zengwe
Magu hakuwahi na hakuna mtu aliyewahi kuwaza atakuja Ku contest.
Na pia hakuna Mahali panapoonesha Magu ana Kinyongo na JK,for what ?
Salama ya JK ni Magu kushinda
 
Kosa alilolifanya jk ni kutotimiza ahadi kwa aliyekuwa rafiki yake lowassa, na ahadi alizowahaidi watanzania. Inabidi awaombe watanzania msamaha, haswa lowassa sababu anakaribia kupewa rungu.
 
Hili ni la kweli au la kusadikika tu?

Magufuli ana kinyongo gani na Kikwete?

Ngabu we si unajua kuwa Kikwete aliibuka na majina matano
kutoka mfukoni mwake likiwemo la Magufuli?
sasa si kamchagua kama alivyo wachagua hao wanne wengine
angemkata kama alivyowakata wengine zaidi ya 30 nani angebisha?

Kuhusu kinyongo ni story ya kweli....kuna a lot of bad blood between them
Nyumba ambazo Magufuli aliwapa ndugu zake zilirudishwa kwa amri ya JK
while obvious JK ana madhambi yake mengine ambayo Magufuli anayajua
 
Kwa hiyo Kikwete ndo alikuwa ana run show nzima peke yake pale Dodoma?

Kama ndo hivyo basi ni hatari sana....
 
Ngabu we si unajua kuwa Kikwete aliibuka na majina matano
kutoka mfukoni mwake likiwemo la Magufuli?
sasa si kamchagua kama alivyo wachagua hao wanne wengine
angemkata kama alivyowakata wengine zaidi ya 30 nani angebisha?

Kuhusu kinyongo ni story ya kweli....kuna a lot of bad blood between them
Nyumba ambazo Magufuli aliwapa ndugu zake zilirudishwa kwa amri ya JK
while obvious JK ana madhambi yake mengine ambayo Magufuli anayajua

Kumbe hizo nyumba zimerudishwa?
Magufuli kaokota embe kwenye mti wa miba!!
Na hilo embe Jk anahusika kuliweka hapo!!

Hana cha kumlipa zaidi ya kumlinda !!

BTW, Rais mstaafu ana kinga ya kutoshtakiwa
 
Watu hawajifunzi kilichochelewesha uundwaji wa Baraza la mawaziri NIGERIA, Kisa kuombeana msamaha baada ya matokeo. Bohari akang'ang'ania wizara ya Mafuta ili kukubali msamaha la sivyo yangemfika Jonathan.

Yangu macho hapo TZ, kuna msamahaa pia kwenye uongozi kunusuru nchi.
 
Kumbe hizo nyumba zimerudishwa?
Magufuli kaokota embe kwenye mti wa miba!!
Na hilo embe Jk anahusika kuliweka hapo!!

Hana cha kumlipa zaidi ya kumlinda !!

BTW, Rais mstaafu ana kinga ya kutoshtakiwa

Visasi sio tu kushtakiwa
hata kumuumbua tu kwa kuweka siri out za scandal mbalimbali
hata kushtaki mawaziri tu wake
 
Pasco umeenda mbali sana.Ungekuwa mwanasiasa ningekuita statesman.Ni kweli kabisa Kikwete anabehave kama vile baada ya 25th Oktoba akitoka kwenye madaraka anakwenda mbinguni. Na hata viongozi wengine wa CCM wanabhave hivyo pia. They have been blinded by absolute power,which is infact absolutely corrupt!! Hawajui namna ambavyo Tanzania imekuwa polarized kwa sababu ya ubinafsi wao. Thank you for the thought. Watu wamefunga vyoo vya magari yao wakati wapo kwenye meli na rubani ameshika kipaza sauti kuwatangazia watu evacuation lakini wao wako ndani ya magari yao wamefungulia na mziki mnene ndani. Abiria wasio na magari wanawaambia washushe vioo wao wanaona hawa malofa wanasumbu!!
 
Angempitisha bado ingesemwa kamwachia rafiki yake!!
Lakini nchi hili sio ya Jk peke yake ni ya watanzania wote, Jk ana kura moja tu kwenye kuchagua rais

Tukiruhusu hili ya rais anayemaliza muda wake kutuchagulia mrithi wake itatuletea shida,ipo siku mwanae atarithi.

Nashindwa kukuelewa kabisa sijui ndio mahaba niue, nani alienda na majina matano mfukoni, wale 42 walikatajwe. labda Prof Mwandosya atatusaidia.
 
Mimi alichonishangaza JK ni kumteua Magufuli

both Magufuli na Lowasa wana vinyongo nae
yeyote atakaeshinda still anaweza lipa 'visasi' kwake

so nimemshangaa JK......halioni hilo?

JK alishapata ofisi NY, na alishapewa unanii wa kule (kitabu cha bluu). Msoga kutabaki Museum tu.
 
Back
Top Bottom