Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,259
Mkuu hata mtu anaweza akatoa uridhi (tuite agano) wa ardhi kwa wanawe japo ardhi ni ya serikali, na Mungu bado akaheshimu agano.Kama walikubaliana kuachiana nchi kama kampuni binafsi imekula kwao.
Mkuu hata mtu anaweza akatoa uridhi (tuite agano) wa ardhi kwa wanawe japo ardhi ni ya serikali, na Mungu bado akaheshimu agano.Kama walikubaliana kuachiana nchi kama kampuni binafsi imekula kwao.
Pasco
Mzee the problem with our society is that we read to reply not to understand....
Sijui kama watakuelewa
Mimi alichonishangaza JK ni kumteua Magufuli
both Magufuli na Lowasa wana vinyongo nae
yeyote atakaeshinda still anaweza lipa 'visasi' kwake
so nimemshangaa JK......halioni hilo?
Pasco aka Msimila (Ilboru time), kwa upande wangu sioni uwezekano wa mzee wa Monduli kuingia Ikulu hata kama akishinda uchaguzi kwa kura nyingi kuliko CCM.
Kauli mbalimbali zimeshatamkwa kwamba "Wenye Serikali hawako tayari kukabidhi madaraka kwa wapinzani".
Ulikuwa mchuano mkali sana wa kutunishiana misuli,lakini nafurahi kuona mwishowe Lowassa ndiye anayekwenda kushinda.
Ombi langu kwa Lowassa asamehe tu,asiweke kinyongo maana 'rafikiye' hadi sasa ameshateseka kimsongo wa mawazo vya kutosha!
Yetu macho.
Lowasa awe tu rais hayo ya msamaha waombane kupitia Skype kama anaona aibu atumie whattsap.
Wapo watu wanaamini kabisa Lowassa atashinda?
umeona mbele km 100,000 ni jambo la busara kumaliza tofauti mapema tujenge nchi. mnaosema upinzani hawatapewa nchi nadhani hamjui nguvu ya umma
Oh yeah...kama vile waliopo wanaoamini kwamba CCM siku moja itakuja kushindwa kwenye uchaguzi mkuu utaoendeshwa na tume ya taifa ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM.
Ni imani tu.....na kila mtu ana haki ya kuamini atakacho!
Hizo kauli ni za Watu sio Mungu!." hawapo tayari wao lkn Mungu yupo tayari Na hizo kauli tushazifuta, kimsingi atakaeshinda ndo atakuwa na si vinginevyo mkuu. Trust me!
Hiyo chuki yako na unasema unaomba Mungu sijui Mungu gani! Ushauri unapomuomba Mungu hutakiwi kuwa name chuki na vinyongo, jitathimini
Mkuu hata mtu anaweza akatoa uridhi (tuite agano) wa ardhi kwa wanawe japo ardhi ni ya serikali, na Mungu bado akaheshimu agano.