Ushauri wa bure kwa mnaotaka kuoa

Ushauri wa bure kwa mnaotaka kuoa

Wazee wetu walikuwa na busara sana waliposisitiza tuoe wanawake bikra. Bikra Hana ex.
 
Sasa haya ndio maneno...yaani ukitoka huko na style mupya mupya unakuja nifundisha na mie nakufundisha.
Siku ya siku tunawaalika micheps wetu tunaenjoy foursome ya maana
Hapo ni mwendo wa bao la kwanza huku la pili kwa mwengine halafu mnanalizia na double penetration kwa kila mmoja zamu zamu
 
Nawasihi vijana wenzangu wenye nia ya kuoa,

Nafahamu kabla ya ndoa kuna kile kipindi cha uchumba na kuchunguzana. Naomba muwe makini na watulivu katika kipindi hiko, mkijichanganya tu imekula kwenu. Wanawake wengi wanaitaka ndoa lakini kusimamia misingi ya ndoa imekua tatizo.

Kuweni makini na ma X wa mpenzi wako ambao wapo kwenye kitabu chake cha simu. Hawa mara nyingi mkigombana ndiyo hua kimbilio lake la kwanza kutafuta wa kumfariji.

Kuwa makini na yule X ambaye bado yupo kwenye mawasiliano yake ya simu na anawasiliana naye. Ukimuuliza kwanini hajafuta namba yake mara nyingi majibu ya hawa mabinti ni hua, "Siwezi futa namba ya mtu wakati hatukuachana kwa ubaya, siwezi jua kesho atakuwa na msaada gani kwangu," like WTF!

Kama hawajaachana kwa ubaya kwanini mapenzi yao hayakuishia kwenye ndoa? Ukituliza akili utagundua tu kuwa huyo ndiyo mwanaume wa ndoto zake, kwako amejiegesha kutafta stara ya ndoa tu.

Kijana shtuka mapema, kuna mwenzetu analia na kusaga meno huku. Amechanganyikiwa kabisa hapa, baada ya kukuta mazungumzo ya ma X zisizoeleweka!
Good message noted
 
Sisi tuliokwisha oa tunacomment wapi?
 
Kikubwa hapa tuwe makini na ma x wa wapenzl wetu wapya.
Huwezi control hii...midemu ya siku hizi chupi mkononi... plus wengi wanaekti Sana...SA wewe amua moja kuzalisha au kutembeza bakora tu...

Juzi nilienda kwenye sherehe ya mshikaji mmoja...bi arusi akamtambulisha X wake hadharani...Kisha akasema huyu huwa ananiitaga babe ....
 
Usioe kwenye familia ambayo mama hamuheshimu mume wake au wameachana kwa tabia mbovu za mke
 
Huwezi control hii...midemu ya siku hizi chupi mkononi... plus wengi wanaekti Sana...SA wewe amua moja kuzalisha au kutembeza bakora tu...

Juzi nilienda kwenye sherehe ya mshikaji mmoja...bi arusi akamtambulisha X wake hadharani...Kisha akasema huyu huwa ananiitaga babe ....
Daaaah huyo bwana harusi sijui alikua na hali gani baada ya hapo
 
Back
Top Bottom